Jamii Forums: JIWE lililokataliwa na waashi lakini sasa ndilo jiwe kuu na Msingi wa Habari Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamii Forums: JIWE lililokataliwa na waashi lakini sasa ndilo jiwe kuu na Msingi wa Habari Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr.Mbura, Mar 19, 2013.

 1. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #1
  Mar 19, 2013
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wana JamiiForums, mnakumbuka vizuri jinsi mtandao huu ulivyopingwa vikali na watesi wa haki za binadamu hapa Tanzania (CCM na Serkali yake) tangia misingi yake yaani JamboForums.

  Serikali na Taasisi zake karibia zote hasa JESHI la polisi lilikuwa mstari wa mbele kusema hii JF ni ya wahuni bila kusahau viongozi wengi wa serikali wakiwepo wabunge wa CCM kama MAMA G. LWAKATARE aliyetaka JamiiForums ifungiwe.

  Leo hii tunaona mkurugenzi wa usalama wa CHADEMA yuko mahakamani tena serikali ikidai ina ushaidi kutoka JamiiForums.

  Swali langu ni lini Serikali ilitangaza kuwa JamiiForums siyo chombo cha wahuni tena?

  Je, sitakuwa sahihi kusema kuwa JamiiForums ni jiwe lililokataliwa na waashi ambalo sasa ni jiwe kuu la pembeni?

  :tape2:
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,593
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Wanaosema JF ni chombo cha wahuni ni watu wasijua kinavhoendelea...
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,515
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hawana lolote waacha kufanya kazi ya kutafuta waharifu wanakaa kuangalia upepo wa mitandaoni. too low kwa intelejensia!
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 27,828
  Likes Received: 12,086
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa huo ndio ukweli wanashinda kutwa nzima humu wala hata hawalali ujue.....
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,865
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  stone that they build refuse, will always be the head corner stone!
   
 6. master peace

  master peace JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2013
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 1,451
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukweli unabaki pale pale, CCM kwa ujumla wao hakuna hata mmoja wao mwenye akili timamu.
   
 7. W

  Walas Ba JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 3,030
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Naona leo umewah kunywa chai
   
 8. K

  Kilaza JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 3,324
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  mkuu hii English ni noma umewafunika
   
 9. K

  Kilaza JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 3,324
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Ukiugusa ukweli (udhaifu wa serekali) ambao serekali hawaupendi basi lazima uwe muhuni
   
 10. Ranks

  Ranks JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 21, 2012
  Messages: 2,599
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Wanlamba tapishi,mh,kinyaa.
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2013
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,609
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Kuna watakaokwambia kasoro Makufuli na Mwakyembe
   
 12. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 800
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Watu wetu wengi wamekuwa wakipuuza nguvu ya social media, ama kwa kutojua, au kwa ulevi wa madaraka. Social media, kwa mfano JF, zimeongeza sana upana wa upashanaji habari kwa mfumo huu wa social journalism. Hatua hii inaweka sana shinikizo kwa viongozi kuwa wanawajibika kwa wananchi, na hili ndilo linalowapa sana shida...kuwa accountable to wananchi.

  Social media ndiyo iliyochangia sana kujulikana, na hatimaye kuwajibishwa kwa walioshiriki sakata la EPA; huo ni mgano mmoja tu mkubwa. Katika nchi za Afrika Kaskazini na sehemu ya Uarabuni, social media imechangia sana kuleta vuguvugu na mabadiliko ya kisiasa, hata kuangushwa kwa tawala ambazo haikufikirika kuwa kuna siku zitaanguka...

  Ukiangalia idadi ya wanachama wa JF, (118,935 19-March 2013) na kwamba kwa wakati mmoja thread inaweza kuwa na watu zaidi ya 200 wa kaliba tofauti wakijadili jambo, ni ushahidi tosha kuwa mtandao huu una nguvu kubwa ambayo haipaswi kubezwa.

  Wanaoibeza, ni wale wasiotaka kukosolewa, wasiotaka mabadiliko...na hatimaye mabadiliko huwatupa nje ya ulingo...
   
 13. c

  cencer09 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,447
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  teh teh you've made my day
   
 14. ZionGate

  ZionGate JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 4,652
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo kwenye lugha kwel we mbaya hahahaaaaaaaa swahil english.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,109
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo kwa kuwa JF inawasulubu ulitaka wasiitumie kumsulubu??

  Kwani wee hujui fitna? Adui mwombee njaa tena akipanda mchicha uwe bangi ndio theory iliyokuwa inatumika
   
 16. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni kibaya pale kinapofichua uozo wa serikali lakini kwa mengine lazima washupalie
   
 17. c

  cencer09 JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,447
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  magufuli mwizi wa nyumba za serikali,Mwakyembe unakumbuka alivyosema wakati wa sakata Richmond kuwa kama wakisema ukweli wote serikali inaweza ikaanguka.Ili asiseme wakaamua kumfix alivyochomoka wakaamua kumpa uwaziri,kimya.Kuna msafi ccm?my ...
   
 18. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,793
  Likes Received: 13,797
  Trophy Points: 280
  umemjibu vyema sana.
   
 19. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,793
  Likes Received: 13,797
  Trophy Points: 280
  teh teh teh teh, kidhungu cha tuition hicho, utasikia "goodmorning thank u teacher hata kama saa nane mchana "
   
 20. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hofu ni pale wasiojua dhana ya Conduit Media inavyofanya kazi bila upendeleo wa kiitikadi, kidini, kikanda wala kikabila ndani ya JF watakapo badili uelekeo wa mashambulizi yao kutoka kwa Serikali ya Chama Dhalimu na kuelekeza kwa Wamiliki wa JF. Baadhi yetu tulikwishajipa hati miliki ya aina ya mijadala na ushahidi wa kuwekwa hapa JF. Yakija yale yaliyokinyume na mapenzi yetu, hata kama ni ukweli tunahisi ama Mtu kununuliwa au kuonewa!
   
Loading...