Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum.
Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.
Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.
Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.
Byeeee.