Jamii forum poem online

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
nilidedicate poem jana for jamii forum online na imetoka leo

To JF members
I searched, through social and networking sites
Seeking that one place, that would give me proper insights
A place where likeminded fellows, sought and shared ideas
Then I stumbled upon JF, where I have laid down my ears
To see, to learn and grow in these years
A place the teaches, informs and your mood it cheers
JF has become my home, a place where I hope you see us.

Soulbrother

it looks better kwenye site http://rhymesandlines4u.wordpress.com
 
Sasa kama umededicate for JF, kwa nini usiiweke na humu pia tukaiona bila ya kufuata link? Halafu hivi hii ni breaking news?
 
Sasa kama umededicate for JF, kwa nini usiiweke na humu pia tukaiona bila ya kufuata link? Halafu hivi hii ni breaking news?

nimeiweka hapa, link ipo hapo kama unataka kuiona kwenye site ila poem yenyewe ipo hapa na unaweza kuisoma... ni breaking news kwasababu tukio limetokea leo, yaani asubui kwa hivyo habari moto moto yaani breaking news :)
 
nilidedicate poem jana for jamii forum online na imetoka leo

To JF members
I searched, through social and networking sites
Seeking that one place, that would give me proper insights
A place where likeminded fellows, sought and shared ideas
Then I stumbled upon JF, where I have laid down my ears
To see, to learn and grow in these years
A place the teaches, informs and your mood it cheers
JF has become my home, a place where I hope you see us.

Soulbrother

Shairi lako zuri,Lakini ungeliweka kwenye Lugha yetu ya kiswahili kweli lingekua zuri zaidi.
unajua kwanini nimesema hivyo!?
Juzi hapa nilikua nimekaa kwenye benchi kwenye bank ya NMB nasubiri huduma karibu na dawata la kuaandikisha wateja wapya,hapo nilijua kua kiwango cha elimu au sijui niseme uelewa watu wa lugha hii ya kugeni ni mdogo?Asilimia 99.9 waliokua wamejaza hizo fomu za wateja walikua wamekosea kujaza,mwengine hajuai hata sehemu ya kuweka saini au ya kutia saini yake ni kazi wanaweka kwa erufi kubwa,wengine hawajui kwamba nano NAME kwenye fomu hizo linamaanisha jina wao wanajaza sehemu wanapoishi.
Yaani ni taflani,wale wafanyakazi wa benki wa kitengo kile wanapata shida sana nadhana hata kiwango cha mishahara yao kinastahiri kiwe kikubwa kidogo,wanafanya kazi za walimu wa shule wakti huo huo kama maofisa wa banki.
sasa hilo ni swala la banki,fikiri wangapi wangetaka kuelewa maana halisi ya shairi hilo hapa?
Tafadhali liweke hata kwa kiswahili pia Mkulu
 
Aisee nitajitahidi ila sidhani wataliweka online katika lugha ya kiswahili.

Lakini kwasababu umetoa ombi, nitalitasfiri na kuliweka hapa JF.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom