Jamii forum Ni sehemu salama tujuane kwa kazi zetu Ili tupeane madili

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,019
46,140
Jamii forum ishakuwa na watu wengi, stori nyingi Ni part kubwa ya maisha yetu.napendekeza kuanzishwe radio ya jamiiforum radio.dakika tunazo tuwe tunapiga simu najitambulisha kama ndege JOHN natoa maoni yangu natuma salamu kwa kina fulani.stori inakuja hio radio sote tuwe na hisa pale.radio mpya waandishi wa habari wamo humu humu.tutajikuta tunapeana madili sisi kwa sisi itazipiku radio zote zilizopo.tuchangeni hela tusiogope jamiiforum ndio inaongoza kwa kutoa taarifa,stori nyingi Ni maada tosha ya kuwa na vipindi vyake na watu wa kijijini wasio na simu na ID Wapate nafasi ya kusikiliza elimu mbalimbali na maarifa kutoka kwa members.
 
Haya ya kwanza hii kutok kwa Gidbang Natafuta vijana 5 hadi 10 wenye nia na uwezo wa kuandaa na kusimamia Tamasha Watoke kanda mbalimbali za nchi yetu kuleta balance jinsia izingatiwe tukishapitia cv watawasiliana na uongozi kwa hatua zaidi wawe tayari kukaa hostel kwa muda w wiki 2 za maandalizi ya paper work OFISI NDOGO YA PROGRAMM IKO DAR HIVYO KAMA WATAAMUA KUKUTANA DAR AU WAJE HQ KARATU
kanda ya ziwa
kandaya kati
kanda ya mashariki
kanda ya nyanda za juu kusini
kanda ya kaskazini
 
Hadi insta wanatudukua siku hizi.this is jf
Screenshot_2019-03-18-10-11-45.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni moja,
Sisi humu tunatakiwa kutoa kauri ambazo ni kauri za siri,

Sasa watu wakiijua sauti yako au wakijua tu umepiga simu wanaweza kutrack na kupata information zako zote, wakakujua jina haris

Hapo kutumia ID fake hakuta kua na maana tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom