Jamii forum Ina memba wangapi?

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Wanajukwaa pole na majukumu yenu,
Naomba kujua kama kuna yeyote anaejua idada ya members wote wa jf plz.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Ila ukijua usipeleke Taarifa polisi maana tuna kesi nao, wanataka kutujua majina yetu halisi na kazi zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom