Jamhuri yaondoa kesi iliyomkabili M/kiti UVCCM Arusha ya kujifanya usalama wa Taifa

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,393
24,968
JAMHURI YAONDOA KESI:

Jamhuri yaondoa kesi mahakamani iliyomkabili M/Kiti wa UVCCM Arusha, Lengai Sabaya ya kujifanya usalama wa taifa na kughushi kitambulisho.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
 
JAMHURI YAONDOA KESI:

Jamhuri yaondoa kesi mahakamani iliyomkabili M/Kiti wa UVCCM Arusha, Lengai Sabaya ya kujifanya usalama wa taifa na kughushi kitambulisho.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

yule jamaa alifanya kosa sana
 
Hicho ndicho kinachofanya hata sirro aseme,kutekwa kwa walio kinyume na ccm au magufuli,kutekwa kwao ni kawaida.hivyo hata mwana ccm afanye kosa lolote lile mf, ujambazi,wizi,vyeti feki,uuwaji,ajiite raisi,mkuu wamajeshi, kwa ccm ni kawaida tu,na serikali yote itamkingia kifua,alimradi awe na kadi ya kijani. Mf,bashite,waliomuua Mawazo,na wapinzani wengine.hakika ccm ni
Adui mkubwa wa wapenda haki !
Nchi nayo imepakiwa kwenye lori,tunachosubiri tu,ikabwagwe,walikoandaa ccm,kutokana na utashi wa dereva.
 
JAMHURI YAONDOA KESI:

Jamhuri yaondoa kesi mahakamani iliyomkabili M/Kiti wa UVCCM Arusha, Lengai Sabaya ya kujifanya usalama wa taifa na kughushi kitambulisho.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Angekuwa Bavicha angehukumiwa kunyongwa hadi afe.
 
Back
Top Bottom