Jamhuri ya Watu wa Pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamhuri ya Watu wa Pemba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlenge, Mar 14, 2010.

 1. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #1
  Mar 14, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 433
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Didn't hear about it in history and Siasa classes: People's Republic of Pemba.

  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Political_history_of_Eastern_Africa"]Wikipedia [/ame]states as follows: "18 January 1964: Pemba People's Republic proclaims independence from Zanzibar and Pemba, with reintegration before the end of the month.".

  The People's Republic of Pemba had its own national flag:
  [​IMG]

  Who were the leaders of People's Republic of Pemba? Was there also Unguja Republic? What was their form of Union? Where are the articles of that union?

  Regards,

  Mlenge
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Mar 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ninadhani hiyo historia haikuandikwa kimailifu. Kisiwa cha Pemba kilitangaza kujitenga na kile cha Unguja baada ya mapinduzi yaliyoongozwa kutokea huko Unguja ambayo yalimwondoa madarakani kwa nguvu Mohammed Shamte (mzaliwa wa Pemba); hata hivyo serikali ile ya Pemba ilizimwa katika muda mufpi sana chini ya wiki moja na waendesha mapinduzi wale. Kumbukumbu kubwa kuhusu hiyo Jamhuri mpya ya Pemba ni hiyo bendera uliyoweka hapo, ambayo inafananana sana na bendera ya serikali ya Zanzibar iliyopinduliwa; hamna la zaidi kuonyesha kuwa kulikuwa na serikali ya Pemba.
   
 3. G

  Gangi Longa Senior Member

  #3
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi simo, haya mambo baba wa taifa aliwahi kuyahubiria naona yatarudi wale Wa-Unguja naona hawataki kuchangia hapa! Wako wapi watueleze?
   
 4. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....................Ukisha kula nyama ya binadamu hutaacha kamwe, dhambi hiyo itakurudia kila wakati. Dhambi ya UBAGUZI. Kisha mtaanza, wale wa-Bara, sisi wa Zanzibar, kisha mtaendelea, wale Wazanzibara sisi Wazanzibari, halafu wale Wapemba, sisi Waunguja...........(Quote) Mwl. Nyerere.

  Jamani hivi huwa hatujifunzi ????
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mh! This is new to me. I never knew there was the Repblic of Pemba. Sidhani kama ni kosa kuitaja kama sehem ya historia. Je kusema kuli kuwepo na Jamhuri ya Tanganyika mtaita ni ubaguzi? If it's fact it's fact.
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kazi ipo!
   
 7. m

  muunguja Member

  #7
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am not sure how pemba and unguja unite to be honest with you .I will be happy to see PEMBA to be independence because it will sort out tribalism,devolpment and immigration. katika maendeleo ya visiwa hivi viwili viongozi wanabase zaidi kuijenga unguja than pemba which I think is not fair for them ,thats why in unguja we got a lot of wahamiaji kutoka pemba .hawataki kujenga kwao kwasababu maendeleo ni mabovu sana.jambo jengine ni kwamba ubaguzi wa kati ya unguja na pemba upo na wala hautaondoka ushahidi utaona kwenye general election .ccm didnt get majority vote in pemba so as cuf will didnt get majority vote in unguja .also smz they naver consider to nominate pemba origin person for president candidate .reason is because wapemba hawakupindua which i think is out of order .someone like salim ahmed salim is veru good leader.mimi nahisi tumewadhulumu wapemba vya kutosha its time for them to be independence and have their beloved seif sharif hamad to be their king.
   
Loading...