Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,142
- 13,216
Kwa jinsi rasimu ilivyo nahisi JMT inatakiwa kuwa Taifa lakini tusaidiane maana rasimu inasema ni nchi na shirikisho lenye mamlaka kamili ambalo limetokana na Muungano wa nchi mbili, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
halafu hapo kwenye Muungano wa nchi mbili
kwa Tanganyika kuna maneno watu yameachwa Yaani Jamhuri ya Watu wa Tanganyika ilihali Zanzibar neno watu limo
Mapendekezo yangu JMT liwe Taifa na sio nchi
halafu hapo kwenye Muungano wa nchi mbili
kwa Tanganyika kuna maneno watu yameachwa Yaani Jamhuri ya Watu wa Tanganyika ilihali Zanzibar neno watu limo
Mapendekezo yangu JMT liwe Taifa na sio nchi