Serikali ya Uingereza yaipa Tanzania Sh. Trilioni 1 kuwezesha miradi ya maendeleo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serikali ya Uingereza imetoa Dola Milioni 450(Sawa na Trilioni 1 za Kitanzania) ili kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.

IMG-20170823-WA0070.jpg

IMG-20170823-WA0072.jpg
 
Shida sio kupewa pesa, cha muhimu ni kuwa hiyo pesa itaenda kufanyia nini. Wafanyie mambo ya maana tu hiyo pesa. Lakini waki-spend kwenye unnecessary things, itakuwa ni sawa na kazi bure.
 
Back
Top Bottom