James Ole Millya awashukia wapinzani kuhusu Katiba Mpya, ataka Rais Samia asibughuziwe

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais aliyeko madarakani kuweza kutekeleza majukumu yake hasa kipindi hiki Taifa lipo kwenye changamoto ya janga la Corona.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha, Millya alisema kuwa rais Samia ana muda mfupi tangia ashike madaraka miezi minne iliyopita hivyo anapaswa kupewa muda wa kulitumikia taifa.

Millya aliungana na Rais Samia kwa kuwataka wapinzani na watanzania kwa ujumla kuwa suala la Katiba ni mtambuka na kwamba rais ameonyesha nia ya kulishughulikia ikiwemo kukutana na wapinzani katika hatua ya awali ya kujadili mwenendo wa kisiasa nchini na hivyo kuwataka wawe na subira.

"Miezi minne haitoshi kwa rais Samia kushughulikia katiba mpya huu ni uroho wa madaraka ,Jambo kubwa Kama la Katiba mpya linapaswa kusubiri kidogo na jamii inapaswa kuwapuuza wale wenye nia ya kumchafua rais Samia"alisema Millya

Aidha Millya alihoji kwamba wale wanaodai katiba mpya kwa sasa kwanini katika kipindi Cha miaka mitano iliyopita hawakusikika wakidai katiba mpya kwa kuanzisha makongamano au wanamwonea kwakuwa ni rais Mwanamke?

Katika hatua nyingine Ole Millya aliongelea juu ya uwepo wa kundi ndani ya CCM Kanda ya ziwa linalojulikana kwa jina la "Sukuma Gang" ambalo linampinga Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi na ndani ya CCM.

Milly alikanusha uwepo wa genge la namna hiyo na kudai kuwa ni propaganda zinazoenezwa na upinzani kutaka kuwagawa wanaccma. Na kuwataka wanaccma wasiingie kwenye mtego huo.

Alikitaka chama Cha Mapinduzi CCM kuwa makini na ajenda za Siri zinazoenezwa na upinzani zenye lengo baya la kutaka kuwagonganisha waccm ili chama hicho kisambaratike.

Akiongelea suala la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini , Freeman Mbowe (CHADEMA),alisema kesi hiyo itazamwe kwa mapanga yake na lisiwe suala la kulaumu.

Alisema suala la Mbowe lisitumike Kama uchochoro wa kuvuruga amani iliyopo hapa nchini na kumsumbua rais Samia asiweze kutimiza malengo yake.

Ends..

IMG_20210801_123036_361.jpg
IMG_20210801_123031_482.jpg
 
Kwani hii Corona imeanza lini? Au ni kwa sababu shujaa wetu mpambanaji hivi sasa yuko half time?
 
Hawa jamaa wajinga sana hawaitaki katiba mpya kwa sababu inalinda maslahi yao na chama chao ila sio maslahi ya wananchi mfano kwa katiba tuliyonayo ina viashiria vya chama kimoja kitu ambacho kinapelekea udhaifu kwa tume ya uchaguzi kutokana na kuaimamiwa na wateule wa raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama chao ndio Mana wananchi hawana nguvu kwenye sanduku la kura, pia kwa katiba tuliyonayo kuna muingiliano mkubwa kati ya mihimili ya serikali (mahakama, dola na bunge) hivyo inaondoa muingiliano unaoweka uwajibikaji wa viongozi kwa sababu hii mihimili haiwezi kusimamiana na kuangaliana

Kiujumla katiba inaweka mgongano mkubwa Sana wakiutendaji na usimamiaji wa rasilimali na huduma hivyo kupunguza au kuzuia maendeleo endelevu, mbaya zaidi viongozi ndio wanaoneemeka hali maisha ya wananchi yanakua magumu
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais aliyeko madarakani kuweza kutekeleza majukumu yake hasa kipindi hiki Taifa lipo kwenye changamoto ya janga la Corona.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha, Millya alisema kuwa rais Samia ana muda mfupi tangia ashike madaraka miezi minne iliyopita hivyo anapaswa kupewa muda wa kulitumikia taifa.

Millya aliungana na Rais Samia kwa kuwataka wapinzani na watanzania kwa ujumla kuwa suala la Katiba ni mtambuka na kwamba rais ameonyesha nia ya kulishughulikia ikiwemo kukutana na wapinzani katika hatua ya awali ya kujadili mwenendo wa kisiasa nchini na hivyo kuwataka wawe na subira.

"Miezi minne haitoshi kwa rais Samia kushughulikia katiba mpya huu ni uroho wa madaraka ,Jambo kubwa Kama la Katiba mpya linapaswa kusubiri kidogo na jamii inapaswa kuwapuuza wale wenye nia ya kumchafua rais Samia"alisema Millya

Aidha Millya alihoji kwamba wale wanaodai katiba mpya kwa sasa kwanini katika kipindi Cha miaka mitano iliyopita hawakusikika wakidai katiba mpya kwa kuanzisha makongamano au wanamwonea kwakuwa ni rais Mwanamke?

Katika hatua nyingine Ole Millya aliongelea juu ya uwepo wa kundi ndani ya CCM Kanda ya ziwa linalojulikana kwa jina la "Sukuma Gang" ambalo linampinga Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi na ndani ya CCM.

Milly alikanusha uwepo wa genge la namna hiyo na kudai kuwa ni propaganda zinazoenezwa na upinzani kutaka kuwagawa wanaccma. Na kuwataka wanaccma wasiingie kwenye mtego huo.

Alikitaka chama Cha Mapinduzi CCM kuwa makini na ajenda za Siri zinazoenezwa na upinzani zenye lengo baya la kutaka kuwagonganisha waccm ili chama hicho kisambaratike.

Akiongelea suala la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini , Freeman Mbowe (CHADEMA),alisema kesi hiyo itazamwe kwa mapanga yake na lisiwe suala la kulaumu.

Alisema suala la Mbowe lisitumike Kama uchochoro wa kuvuruga amani iliyopo hapa nchini na kumsumbua rais Samia asiweze kutimiza malengo yake.

Ends..

View attachment 1876285View attachment 1876286
"Dawa yako ni mbunge wa misungwi"
 
Hawa ndiyo wasomi wetu !!. Tena huyu amewahi kuwa mbunge wa Cdm na mkosoaji wa serikali !!.

Leo kwa sababu za kutafuta u DC anaenda kinyume na usomi. Nina wasiwasi na elimu badala yakuelimika inazidisha upumbavu vichwani
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais aliyeko madarakani kuweza kutekeleza majukumu yake hasa kipindi hiki Taifa lipo kwenye changamoto ya janga la Corona.

Akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha, Millya alisema kuwa rais Samia ana muda mfupi tangia ashike madaraka miezi minne iliyopita hivyo anapaswa kupewa muda wa kulitumikia taifa.

Millya aliungana na Rais Samia kwa kuwataka wapinzani na watanzania kwa ujumla kuwa suala la Katiba ni mtambuka na kwamba rais ameonyesha nia ya kulishughulikia ikiwemo kukutana na wapinzani katika hatua ya awali ya kujadili mwenendo wa kisiasa nchini na hivyo kuwataka wawe na subira.

"Miezi minne haitoshi kwa rais Samia kushughulikia katiba mpya huu ni uroho wa madaraka ,Jambo kubwa Kama la Katiba mpya linapaswa kusubiri kidogo na jamii inapaswa kuwapuuza wale wenye nia ya kumchafua rais Samia"alisema Millya

Aidha Millya alihoji kwamba wale wanaodai katiba mpya kwa sasa kwanini katika kipindi Cha miaka mitano iliyopita hawakusikika wakidai katiba mpya kwa kuanzisha makongamano au wanamwonea kwakuwa ni rais Mwanamke?

Katika hatua nyingine Ole Millya aliongelea juu ya uwepo wa kundi ndani ya CCM Kanda ya ziwa linalojulikana kwa jina la "Sukuma Gang" ambalo linampinga Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi na ndani ya CCM.

Milly alikanusha uwepo wa genge la namna hiyo na kudai kuwa ni propaganda zinazoenezwa na upinzani kutaka kuwagawa wanaccma. Na kuwataka wanaccma wasiingie kwenye mtego huo.

Alikitaka chama Cha Mapinduzi CCM kuwa makini na ajenda za Siri zinazoenezwa na upinzani zenye lengo baya la kutaka kuwagonganisha waccm ili chama hicho kisambaratike.

Akiongelea suala la kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini , Freeman Mbowe (CHADEMA),alisema kesi hiyo itazamwe kwa mapanga yake na lisiwe suala la kulaumu.

Alisema suala la Mbowe lisitumike Kama uchochoro wa kuvuruga amani iliyopo hapa nchini na kumsumbua rais Samia asiweze kutimiza malengo yake.

Ends..

View attachment 1876285View attachment 1876286
huyu bila chadema asingewahi kuwa mbunge , mwambieni teuzi zimeisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom