figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Heshima kwenu wakuu,
Tarehe 16 Mwezi wa nane 2016 kuna mwanaccm aitwaye Mwakibinga, alitoa taarifa ya kumchafua Emanuel Chimbi. Taarifa yenyewe ni hii=>UVCCM wapinga wenzao kutumbuliwa na Kamati Kuu ya UVCCM, Wamvaa Mh Nchimbi
Baadae Emanuel Nchimbi akamtaka Mwakibinga alotoa hiyo taarifa amuombe radhi na kumlipa kiasi cha Bil 2 kama gharama za kumchafua.=>Dr. Emmanuel Nchimbi: Ninamtaka Mwakibinga aniombe radhi na kunilipa bilioni 2 kwa kuniita mwizi
Sasa leo naona jamaa katekeleza Matakwa ya Nchimbi. Jameni Vijana, acheni kukurupuka.
CC: Lizaboni , Tulime , Elli