James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

kuhusu lowassa kuhamia cdm jibu ni BIG NO! INTELLIGENSIA INAONYESHA KUWA HAJAWAHI HATA KUONGEA NA CDM KUHUSU HILO HADI LEO MAJIRA YA ASUBUHI NINAPOONDIKA HII THREAD, HIVYO HAJI CDM
Nilianza kukuamini lakini ulipoandika hapa chini imani yangu ikaisha.

Aje alete chapaaaa tujenge chama then tunamfukuzia mbali kama wakati wa mrema na nccr, teh! Teh!teh!
 
Millya ni sehemu ya mkakati wa CCM kuiua Chadema Arusha...haya ni maoni yangu.
Namna pekee ya CCM kuijua mikakati ya CDM kwa undani ni kuwa na mtu wao miongoni mwa wana CDM.
Ikumbukwe mikakati ya CDM kushinda jimbo la Arumeru Mashariki ilikuwa ya kuishtukiza CCM na hawakuwa wamedhani CDM wangeweza kuwa nayo.
Millya ni kijana mwenye akili na haitamchukua muda, akiwa CDM, kuing'amua mikakati hiyo.
Chonde chonde viongozi wa CDM, msije mkamkaribisha chui huyo aliyevaa ngozi ya kondooo
CDM mmejitambulisha kama chama kinachochukia ufisadi wa aina zote...tafadhali msipokee watu wenye tuhuma.
Mnahitaji bado imani yetu na zaidi sana kura zetu

Msimamo wa Millya unajulikana, sote tunaujua, siyo mtu mwoga na kwamba hata ccm wenyewe wanajua ni mpiganaji. Naomba tumkalibishe na tumtumie kama vile tulivyowakaribisha na kuwatumia akin Marando na Mpendazoe
 
Naunga mkono hoja, tena apewe kanda ya pwani kwa kuanzia!
Hapana, watu wa Pwani wagumu sana kubadilika sababu kielimu bado tupo nyuma sana. Pia huku Pwani tunahitaji muislam ili kutushawishi kuingia CHADEMA, si mkristo. Profesa Safari, Zitto na wengineo wakizungukia mikoa ya pwani pwani yote, 2015 LAZIMA CDM ichukue nchi.
 
Ni dalili kwamba Karibu Lowassa atahamia chadema baada ya nguvu yake kupunguzwa Arumeru kamtanguliza kijana ....tingatinga ..... kusafisha njia. Nguvu yao ndani ya CCM inazidi kuisha ni ruksa kuondoka.
EL akihamia CHADEMA anakuwa mtakatifu? Au akitumia pesa zake za kifisadi akiwa ndani ya CHADEMA zinakuwa clean money? The day that happens nitaichukulia kama siku ya msiba kwa nchi yangu. Itadhihirisha unafiki wa CHADEMA.
 
Millya ni sehemu ya mkakati wa CCM kuiua Chadema Arusha...haya ni maoni yangu.
Namna pekee ya CCM kuijua mikakati ya CDM kwa undani ni kuwa na mtu wao miongoni mwa wana CDM.
Ikumbukwe mikakati ya CDM kushinda jimbo la Arumeru Mashariki ilikuwa ya kuishtukiza CCM na hawakuwa wamedhani CDM wangeweza kuwa nayo.
Millya ni kijana mwenye akili na haitamchukua muda, akiwa CDM, kuing'amua mikakati hiyo.
Chonde chonde viongozi wa CDM, msije mkamkaribisha chui huyo aliyevaa ngozi ya kondooo
CDM mmejitambulisha kama chama kinachochukia ufisadi wa aina zote...tafadhali msipokee watu wenye tuhuma.
Mnahitaji bado imani yetu na zaidi sana kura zetu

Ondoa hofu na mashaka CDM wameshajifunza kwa Shibuda kanuni atapewa assigments za kufungua matawi na kujenga chama nadhani mpakàtakapo ingia kwenye uongozi atakuwa amesaha jifunza na kuwa wanchadema
 
CCM is not used to Majembe... Milya ni mashine hivyo hawezi kufit kwenye agenda ya CCM

Sintashangaa vijana kama akina Mpoki, Gambo, na hata January kuhamia CHADEMA

Hao ulio wataja hapo ni Changamoto kwa CCM na wanalijua hilo kuwa wao hawataki siasa za kifitina kabisa na kuna majembe mengi sana ndani ya CCM ambao midomo yao imefungwa tuu na sielewi ni kwanini wana chelewa chukuwa maamuzi yao huu ndio wakati wao kuhamia chadema kuikomboa Tanganyika

EL akihamia CHADEMA anakuwa mtakatifu? Au akitumia pesa zake za kifisadi akiwa ndani ya CHADEMA zinakuwa clean money? The day that happens nitaichukulia kama siku ya msiba kwa nchi yangu. Itadhihirisha unafiki wa CHADEMA.

The day ntakapo amini El anatakasika ni ile siku atakayo litangazia Taifa letu kuwa aliye mshinikiza kukubali Mkataba wa RICHMOND ni nani ndipo ntamuona yeye ni shujaaaaa kweli kweli. Akili tu mbele ya taifa hili kuwa jamani eeeh nilishinikizwa na fulani kujivua uwaziri mkuu kwani kauli ya kukubali Mkataba wa RICHMOND aliagiza ni fulani utekelezwe period ndipo ntajua EL ni mkweli alijitoa mbuzi wa kafara

welcome home broda,, wavute na vijana wenzako tulijenge taifa letu katika misingi ya ukweli na uwazi,
 
Lowassa hataihama ccm kamwe. atakachoweza kufanya ni kufanya alichofanya Rostam.
Lowassa anataka kutimiza ndoto yake ya kuiua chama akiwa ndani ya chama.
LOWASSA AKIHAMIA CHADEMA NARUDISHA KADI. CHADEMA SIYO PANGO LA MAFISADI[/QUOTE]

Sawa kabisa mkuu Mungi. Tutarudisha kadi wengi maana tunaipenda CDM sababu ya kupiga vita ufisadi. Wakimpokea hatuta waelewa. Any way nina imani hawatampokea kufuatana na kauli ya mwenyekiti Mbowe kwamba watawpokea wale ambao ni wasafi. Kwa kauli hii EL hana nafasi CDM.

kwa jinsi Magamba wanavyochukia BABY SKIN, jamaa akitangaza 2 leo uamuzi kesho utasikia kesi ishatinga mahakamani ya uporaji wa mali ya umma. Ila katika sakata la Rashid ulikuepo uvumi wa El kuwapo nyuma ya uasi ktk mbio za kusaka saluti na ziara nyingi za nje. Si ajabu akatua ADC maana njia ya ccm imekua tafu sana.
 
Mbukwenyi wanaJF. Kujenga chama ni pamoja nakuchukua wanachama wa vyama vingine hasa CCM, ILA muwe nao makini mana sio wote watakao hamia Chadema kwa wema, wengine watatumwa kuja KUCHUNGUZA na KUBOMOA, KUTAFUTA VYEO NA MASLAHI BINAFSI. Wakaribisheni wenye uzalendo na spirit ya kulitumikia taifa.
 
yawezekanaje m2 asiyetadha kuingia msikitini. Alikuwa wapi mpaka leo au baada ya kuona bosi hawezi fanikiwa 2015 anamkacha. Chadema kuweni makini sa ajabu katumwa na EL
 
Back
Top Bottom