kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 323
Hajitambui huyo naona field imewashinda wanakimbilia media ovyo kabisa
Acha kujitoa ufahamu.. Startv, Clouds Media & TBC zote mmehodhi..
Hajitambui huyo naona field imewashinda wanakimbilia media ovyo kabisa
nasikia ukawa hawataki kuvuta vumbi kwa wananchi wanataka kuongea wakiwa studio
Ni nani aliyewauzia?. Ukinijibu kura yangu kwa mapadlock asubuhi na mapema 25 octoberMiongoni mwa mafisadi yalionunua nyumba za serikali ni Sumaye na Lowasa tena sio moja moja! wazomewee!
Tunataka mdahalo Kati ya lowassa na tingatinga .tunataka mdahalo usiopungua dakika 45.
Hivi huyu mbatia anaongea nini? Yeye mbona anapiga kampeni saa 5 usiku? Pumbavu Sana huyu jamaa
Mbatia : Nguzo za ccm ni umbae,unafiki,majungu,fitina,kusema uongo