James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

Anaongea upumbavu tu

Sisi tunataka mdahalo wa wagombea urais, huyo Mbowe akanywe naye chai

Tunataka tumsikie Lowassa mwenyewe
 
ukawa eti wanataka maridhiano! asa mnaenda kwenye kampeni kwa nn! wacha moto uwake na if you lose you lose all
 
Mbatia namuonea huruma sana. Hajui atendalo maskini. Wenzake wamepiga mahela yeye sijui kaambulia nhapi
 
Miongoni mwa mafisadi yalionunua nyumba za serikali ni Sumaye na Lowasa tena sio moja moja! wazomewee!
Ni nani aliyewauzia?. Ukinijibu kura yangu kwa mapadlock asubuhi na mapema 25 october
 
Wenye akili timamu watamuelewa Mh.Mbatia.
Ila kwa kuwa lile genge la ccm limeamua kufanya uovu mwisho wao umefika.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom