James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

Mbatia...tunaomba watz mtuaamini...safari za raisi trilioni 4 zingetumika vingejengwa vyuo vya veta zaidi ya 200 au university 80
 
Nimemsikiliza Mbatia, tofauti na kufanya kampeni usiku...binafsi naona ni kukwepa mdahalo wa lowasa na magufuli.
Mbatia kawataka wenyeviti ndio wajitokeze kuelezea...ingawa kwa upande na makatibu wakuu ndio walipaswa ila najua chadema ni kizungumkuti.
ITAKUWA VIZURI KAMA MDAHALO UTAKUWA BAINA YA LOWASA NA MAGUFULI.
Nawakilisha.
 
Mbatia usitufikilie kuwa sisi ni majuha jangwani tumemsikia lowasa akisema atawatoa mashekhe ukaja kutufanya sisi hatujui kuchambua maneno ya watu wanapoongea

Pia kaenda kuomba kura kanisani wewe waja na mambo mengine kama ndivyo? "Rais wa kwanza mkatoriki,wapili mkatoriki na sasa ni zamu ya warutheli huyo haihitaji hata Elimu ya form four kufafanua mambo hayo sisi sio wageni hadi ututafasiloe

Pata coca baridi..taifa linahitaji vijana kama ww unaejitambua
 
Back
Top Bottom