James Mbatia: "Sisi tumeamua Kuwasamehe Wale wote Waliohusika na Mauaji ya DR.MVUNGI.

Mmh...Tutakwisha!

Nilimtazama Mbatia na Mchungaji wa kanisa wanavyotoa kauli zao kuweza kuwapa wana familia tumaini.,nikawahurumia kwani "ni dhahiri wanadhani wao wako salama."WANASAHAU HISTORIA YA NCHI NYINGINE ZILIZOPITA KUNAKO 'TRACK' HII TUIPITAYO".
 
Mbatia asifikiri Mvungi ni wa NCCR pekee.

Hii tabia ya kusamehe hovyo iishie kwa Mandela tu.
 
Mbowe kaambiwa apeleke video ya warusha bomu akagoma, ile video ingerahisisha kumbaini muhalifu mapema zaidi. Otherwise polisi bado wanaendelea na uchunguzi. Naye akipatikana hatua za kisheria lazima zifuatwe!

Slaa alitegeshewagwa vinasa sauti hotelini na akaripoti ila hamna kilichofanyika,vipi wauwaji wa Mwakyusa?? Kibanda je?! Ulimboka je??!! Kapuya na saga la ubakaji na kutishia uhai??!!
 
Ahsanteeee!!!!

Kwa bomu la Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA,mateso ya Ulimboka,wauaji wa Professor Mwakyusa getini kwake,mateso kwa Kibanda etc,mkono wa serikali una urefu wa birika??!! Wacheni propaganda za kipumbavu!!!
 
Mbatia naye mambo yake kama Mandela!!! Nani kampa mamlaka ya kusamehe watu walioa baba wa familia? Anadhani Mvungi yuko more of NCCR than his family!!!

Kama tumeamua hii ni dunia ya kusamehesamehe tu bora tufunge mahakama sasa.

Jamaa una kihere here kama kuku anaye taka kutaga...
 
Wambie ukweli mambwiga hao kwani matindikali, mibomu na marisasi ya zanji na bara sheria zilikuwa jembe lenye makali dugi na upande mmoja sio msumeno ongeen huku mkipima cha kusema.
 
Mbatia naye mambo yake kama Mandela!!! Nani kampa mamlaka ya kusamehe watu walioa baba wa familia? Anadhani Mvungi yuko more of NCCR than his family!!!

Kama tumeamua hii ni dunia ya kusamehesamehe tu bora tufunge mahakama sasa.

Ubunge wa kitu maalum mulio mpa unamchanganya.
 
Eti Anawasamehe?

Anawajua wauaji hao ni kina nani? Walitekeleza mauaji hayo kwa utashi wao wenyewe au kutumwa? Na kama ilikuwa kutumwa basi walitumwa na akina nani kufanya mauji hayo? What was the motives behind the killings?

Na yeye anasamehe kama nani? Na kwa mamlaka ipi? Familia Dr Mvungi ilimwagiza kutoa kauli hiyo ya kuwa wanasamee?.....Naona kama anatafuta umaarufu kwenye msiba ya watu wakati wafiwa bado wakiwa bado wana machungu ya kuomboleza. Wa Tanzania kwa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu...Anajitwisha u 'Mandela' wa ku copy na ku paste pasipo hata ku edit:)
 
Hata mimi nimeamua kuwasamehe waliowaua Mwangosi, Nyerere, Kolimba, salome mbatia na waliotaka kumuua Mwakyembe, Mengi, Slaa na Mwandosya.
 
mbatia mnafiki na opportunist. kama mzee mandela angekuwa hai leo hii, asingesema(mbatia) haya.
 
Eti Anawasamehe?

Anawajua wauaji hao ni kina nani? Walitekeleza mauaji hayo kwa utashi wao wenyewe au kutumwa? Na kama ilikuwa kutumwa basi walitumwa na akina nani kufanya mauji hayo? What was the motives behind the killings?

Na yeye anasamehe kama nani? Na kwa mamlaka ipi? Familia Dr Mvungi ilimwagiza kutoa kauli hiyo ya kuwa wanasamee?.....Naona kama anatafuta umaarufu kwenye msiba ya watu wakati wafiwa bado wakiwa bado wana machungu ya kuomboleza. Wa Tanzania kwa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu...Anajitwisha u 'Mandela' wa ku copy na ku paste pasipo hata ku edit:)

Kiongozi umeuliza maswala ya msingi sana. Huyu bwana alitakiwa asukume hili swala livaliwe njuga na serikali kuhakikisha kuwa haki inatendeka. Yeye anakimbili kusema anasamehe ?huku akijua mauwaji na vitendo vya kutesa, kuteka na kuumiza watu vinashamiri!?

Kusamehe kunakuja baada ya kukomesha vitendo vyote vichafu, huwezi kusema una samehe wakati vitendo hivyo vimekuwa vinajirudia rudia kila mara.

Huku sio kutumika kuficha maovu ya watu fulani kweli?!!!
 
Hata kama wamewasamehe this is not civil case, yes it is criminal case watabaki kama mashahidi tu, Dr. mvungi ni mali serikal so the public has interest, case itaendelea vile vile
 
Lakini Jamhuri haitawasamehe kamwe, mkondo wa sheria utafuatwa na mwisho wahuni wote waliofanya ule unyama watachukuliwa hatua muafaka!

ona msije mkajikaanga wenyewe maana katika mauaji ya mvungi kuna harufu ya lumumba aka wangoa macho na kucha za binadamu
 
Back
Top Bottom