James Mbatia: Rais Samia mwanzo alitoa tumaini, sasa hivi mambo yanavurugika

Huyu jamaa namfananishaga na Seneta wa Makueni Kenya Mutula Kilonzo ni kama Pacha vile.....hata uongeaji wao
 
walitarajia wataenda vile wanavotaka wao, hawajui kwamba yeye ndio Rais anaamua nini afanye na afanyeje, na mtu akimzengua na yeye anamzengua vilevile. poor DJ kule segerea, kumbe alitaka kulipua vituo vya mafuta? na ninakumbua vituo kama viwili viliripotiwa kulipuliwa kipindi kile kabla ya uchaguzi, kumbe yeye na Tundu lisu walikuwa wamepanga mpango ili kulazimisha ushindi na kama wasiposhinda wasababishe machafuko ya nchi watu wauane ili wao wapate vyeo mwisho wa siku. akanyee debe tu hamna namana.
Hujitambui
 
Tatizo la kutototenda haki, ni kuwa once unapoanza kutotenda haki, basi ama inabidi uendelee kutotenda haki ukiwa na illusion kuwa vitu vitakaa kwenye equillibrium, lakini havikai AU inabidi ushtuke uanze kurudi kwenye msitari.
It seems Samia moyo wake umeridhika na Kutomtendea haki Mbowe.
Lakini unfortunately asichokijua, Wananchi mamilioni kwa mamilioni wa Tayari wameshamchukia.
Huko ni kuligawa Taifa
Unataka amtendee haki gani Gaidi?
 
Nampa pole sana mama yako kuzaa mapooza yaani kabeba mimba na leba kaenda halafu anazaa mtoto wa aina hii,mwenye akili hizi??
Hata kama una njaa please tumia akili zako otherwise uwe dishi limeyumba 92%
Siku zote machizi huwa wanaamini kila wanayekutana naye ni chizi kama wao, na huwa hawajijui kama wao machini. that's the problem.
 
Sitegemei chochote kipya toka kwa CCM, bila katiba mpya taifa hili halitasogea popote, kama manvyoona sasa leo wanasanya hadi senti zetu kiduchu tunazotumiana kuganga njaa.
 
Mbatia hivi ni kweli uliahidiwa nafasi za wabunge?

Ndio aliahidiwa na yule ibilisi aliye motoni, lakini dhalimu alipoona uungwaji mkono mkubwa walio nao cdm, huku Mbatia na Lipumba wakiwa hawana mvuto, ikabidi avuruge uchaguzi maana hata yeye alijikuta hana mvuto aliokuwa amajiaminaisha anao.
 
walitarajia wataenda vile wanavotaka wao, hawajui kwamba yeye ndio Rais anaamua nini afanye na afanyeje, na mtu akimzengua na yeye anamzengua vilevile. poor DJ kule segerea, kumbe alitaka kulipua vituo vya mafuta? na ninakumbua vituo kama viwili viliripotiwa kulipuliwa kipindi kile kabla ya uchaguzi, kumbe yeye na Tundu lisu walikuwa wamepanga mpango ili kulazimisha ushindi na kama wasiposhinda wasababishe machafuko ya nchi watu wauane ili wao wapate vyeo mwisho wa siku. akanyee debe tu hamna namana.

Utoto at Work.
 
wangelipua vituo vya mafuta na kusababisha machafuko nchini mwaka jana, ungechinjwa kichwa chako hicho sijui hata hiyo keyboard ungeandikia kuzimu. walifanya move mbaya na wanatajiwa kujilaumu.
Propaganda
 
Back
Top Bottom