James Mbatia: Mimi sio Kibaraka wa CCM, nadai Bilioni moja kutoka kwa Mengi!

Status
Not open for further replies.
Kiongozi gani asiyekua na ushawishi wala mvuto wa kisiasa,huyo lazima atetee maslahi ya ccm kwa sababu analipa fadhira za chama cha majambazi,NCCR tunayoijua ni ile ambayo alihama nayo Mrema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huu unaojadiliwa hapa ni ushu.......zi mtupu.

MBATIA is among those fewpatriotic opposition leaders including TUNDU LISU,Z.Z KABWE and PROF BAREGU.
Tatizo la chademaz ni upeo mdogo sana wa kutofautisha maslahi ya chama na maslahi ya taifa.
 
Mbatia nae kafunga ndoa na ccm,kapewa ubunge...utamlipa nin i Jk akitaka kukuweka kwenye ccm zaidi ya kukkubali...kibaraka wa ccm huyo...anajipendekeza pendekeza kisa kaubunge..kaubunge kenyewe viti maalumu.MBATIA ANAIUA NCCR MAGEUZI KAMA LIPUMBA ALIVYOIUA CUF.
 
- Kumbe NCCR wapo mpaka Zanzibar, saafi sana maana najua wenzetu ambao hawajafika huko sijui wanasubiri nini? Mbatia kumbe naye bado yupo I mean siasa za bongo bana hawasikiki kabisa ila wanakusanya Ruzuku tu za hela zetu walipa kodi!

William @...NYC,USA: Le BAHARIA!

NYC,USA wewe si uko Arusha?
 
Huu unaojadiliwa hapa ni ushu.......zi mtupu.

MBATIA is among those fewpatriotic opposition leaders including TUNDU LISU,Z.Z KABWE and PROF BAREGU.
Tatizo la chademaz ni upeo mdogo sana wa kutofautisha maslahi ya chama na maslahi ya taifa.

Kama maslahi ya taifa ni kumtazama Mbatia katika sura unayomtazama wewe..acha tu niegemee kwenye maslahi ya chama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom