James Mbatia: Mimi sio Kibaraka wa CCM, nadai Bilioni moja kutoka kwa Mengi!

Status
Not open for further replies.
Mbatia ni mchumia tumbo, ndo maana mahitimisho yake yote katika kesi anazofungua huwa ni kudai fidia ya mamilioni ya fedha. Kwa mengi ameula wa chuya, hapati hata senti kumi.

Hivi James Mbatia anatokea mkoa gani vile, Mara au?
 
- Kumbe NCCR wapo mpaka Zanzibar, saafi sana maana najua wenzetu ambao hawajafika huko sijui wanasubiri nini? Mbatia kumbe naye bado yupo I mean siasa za bongo bana hawasikiki kabisa ila wanakusanya Ruzuku tu za hela zetu walipa kodi!

William @...NYC,USA: Le BAHARIA!
 
Yusufu Mkamba mimi Binafsi nampenda sana Kwa Sababu amefanya kazi kubwa ya kubomoa CCM hadi kusababisha kujivua Gamba!!!
Unakumbuka Wakati wa Kikao Cha kujivua Gamba yeye aliomba Udhuru Kwenda kwenye Msiba??

Je Unaonaje sasa NEC wanaweza kumutoa LOWASSA????
Hivi Mbatia hajaenda court ?
 
Kumbe thamani ya Mbatia ni shilling Billion moja! hapa ndipo sasa ninapoziona busara za Yusuph Manji kumdai Mengi fidia ya shilling 1. Human dignity can not be valued bay money. Huyu ni political loser.


A real political loser in the century
 
Mbatio ni mtoto mdogo kwa Mengi,kamayaliwashinda magobacholi ataweza wapi Mbatie.
Anataka kujisafisha baada ya kuwakwaza magamba na hoja yake ya mitaala ya elimu,sasa ameamua kujisafisha ili u-viti maalum wake uendelee kuwa na mvuto kwa chama tawala.
 
aiseeeeee babayangu mbatia nitakutumia M PESA si unataka 1bilion,,inaonekana ukishinda ubunge utawauzia c c m ubunge wako kwa tamaa zako za pesa utakufa utaziacha pesa
 
Hahaha mbona hajafungua kesi... Au ndio zile za ... Kuzuga kumfungulia msigwa kesi hahahah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom