James Mbatia: CHADEMA wamenifanyia fujo kwenye chama changu na jimboni kwangu wakati wote tupo UKAWA, ulisikia nalalamika?

Nyimbo zenu sasa ni zilipendwa
CHADEMA ni kundi la wapigaji. Hawahitaji siasa kuwasaidia wananchi ni biashara. Wana viongozi wenye Busara ndogo. Ktk jamii zote, wizi ni kosa lisilokubalika, lakini eti Mkiti wa CAHDEMA akiambiwa kaiba, busara ni kunyamaza halafu, anajibiwa na wanaomuunga mkono. Uzuri mwaka huu kuna kila dalili wanapigwa chini!
 
Asubiri moto atakao pelekewa mwaka huu. Hata akisaidiwa na CCM
Vunjo sio maboya
 
Hizo ndizo kauli za kiume na kiungwana

Na ndiyo maana nasema viongozi wa CDM na wafuasi wao hupenda sana kudeka na kuonewa huruma hata wanapopaswa wao kutafuta ugali utasikia sisi kazi yetu kuandaa Meza na maji ya kunawa!
 
Sio kwa kura, bali matumizi mabaya ya madaraka. Tunaoikubali cdm tupo wa kutosha, na hatudanganyiki. Ile 1.5t mpaka leo bado inatuuma.
Ni kawaida boss, kuna wakati nguvu inatumika ili kuondoa watu au mfumo mbovu. Nchi haiwezi kwenda kwa kutegemea kura za wapuuzi wanaompigia mpuuzi mwenzao.
 
Ni kawaida boss, kuna wakati nguvu inatumika ili kuondoa watu au mfumo mbovu. Nchi haiwezi kwenda kwa kutegemea kura za wapuuzi wanaompigia mpuuzi mwenzao.

Tunaposema kuwa huwa mnategemea nguvu kukaa madarakani, inakuwaje mishipa ya shingo inawatoka kwa kulazimisha kuwa mnakubalika?
 
CHADEMA tabia zao kama watoto wa mwisho wanapenda kuonekana wao wapo sawa kwa kila kitu na hawataki kujishusha walisahau kuwa NCCR na CUF viliwahi kuwa vyama vikuu vya upinzani kosa lao walipokuwa chama kikuu cha upinzani walikosa mikakati ya kufanya bado wawe juu
 
Huyu mbunge wangu lakini acha tuu, hakuna la maana amefanya, kwa sehemu ya jimbo langu labda huko kwengine, kule bara bara ya kwenda kahe night mbovu toka miaka ya huko mbali sana na kule tunafanya kilimo haswa lakini sijawahi sikia jamaa hata Akiongelea hili jambo bungeni ili hata tupate barabara ya kuchonga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!

Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Hili ndio jibu la ulichouliza kutoka kwa Mbatia.

"Ni haki yao na ni haki ya chama kilicho sajiliwa kina haki ya kufanya kazi mahali popote pale."

Hakuongea kipindi hicho kwa sababu ilikuwa ni haki yao na hivyo hakuwaona kuwa wamenunuliwa na ccm.
 
Huyu mbunge wangu lakini acha tuu, hakuna la maana amefanya, kwa sehemu ya jimbo langu labda huko kwengine, kule bara bara ya kwenda kahe night mbovu toka miaka ya huko mbali sana na kule tunafanya kilimo haswa lakini sijawahi sikia jamaa hata Akiongelea hili jambo bungeni ili hata tupate barabara ya kuchonga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anatakiwa aonyeshwe kwamba Vunjo sio mapandikizi.. Haja fanya kitu popote sio Kahe tuu.
Kama ni kurudi bungeni arudishwe kwa viti vya wavaa sketi. Sio kwa sanduku la kura..
 
Salaam Wakuu,

Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania.

Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini.

Ameanza kwa kusema:

View attachment 1469145

"Mimi ni Mbunge wa Vunjo, umewahi kunisikia nalalamikia labda CHADEMA kwanini wameweka Mgombea kule Vunjo?

Niwe mkweli tu. Uchaguzi mkuu mwaka 2015 vyama Vingine viliweka Wagombea na wao tumo ndani ya UKAWA tukagawana zile kura za Madiwani CCM ikashinda, ulisikia nmelalamika?

Mwaka juzi nlimwambia Naibu Katibu Mkuu Bara Elizabeth kawaulize Washirika Wenzetu kwanini wanafanya fujo kule Vunjo? Alipowauliza wakasema Mbatia amezoea kudekadeka sana. Ulisikia nalalamika popote?

Ni haki yao na ni haki ya chama kilicho sajiliwa kina haki ya kufanya kazi mahali popote pale.

Mwasisi namba moja wa NCCR Mageuzi mwenye chama Mabere Nyaucho Marando alihamia CHADEMA ulisikia nalalamika popote? Kwanza nliulizwa nikawambia namtakia kila la heri, ni haki yake. Mwesigwa Baregu, ni haki yake.

Nakuhakikishia ukweli wa Mungu Chacha Wangwe akiwa Diwani wa NCCR Mageuzi Tarime Mjini 2003, walienda Viongozi wa CHADEMA wakamchukua wakamfanya Mwenyekiti wa Mkoa wa CHADEMA na wakati yupo NCCR Mageuzi na hatukumfukuza chama. aliendelea kuwa DIWANI"

Mwisho wa kumnukuu.

MY TAKE:
Vya vya siasa vya Tanzania vimetawaliwa na UBINAFSI, KIBURI, KUJIONA BORA na JICHO KWENYE FEDHA ZA BURE.
yaani sio fair kabisa
Huyo Mbatia anajushuku tu. Anatakiwa afanye kazi aliyotumwa na ccm kwa ufanisi, vinginevyo arudishe hela.
Noma sana. Kuna wapinzani hawataki wapinzani wenzao wafanye siasa za upinzani. Nadhani mwenye nguvu na mbinu apite tu.
Mbati usalama wake upo kwenye kusapot CHADEMA tu kinyume na hapo asifike kabisa Moshi.
 
Mbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!

Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Anachosema wasubiri nao dawa iwaingie
 
Nina maswali 2 ya kuuliza hapa.

1. Hiyo sare ya NCCR haisadifu kuwa wao ni CCM B ? Maana tofauti yao na CCM A ni rangi za juu (mashati/t-shirts); Wao wana blue,Lumumba wana green au yellow. Ila chini sare sare maua.

2. Kwanini Mbatia anapoongea huwa anabetua mdomo? Wanaume huwa tunaongea vile kweli?
 
Mbatia anabanwa sehemu moja tu, kwanini hayo yote anayolalamika alifanyiwa na Chadema hakusema wakati ule? au aliamua kusubiri na wewe alipe kisasi?!

Sasa leo kinacho-trend about him ni makubaliano yake aliyoingia na Magufuli, kuiba wabunge na madiwani wa Chadema, hayo ya 2003... angeyasema 2003 angeeleweka.
Hivi mtu ni bidhaa anaibwa tu?

Yaani mtu mwenye akili hadi kashawishi watu elfu wakampa kura leo anaibwa inakuaje? Fafanua mkuu
 
Chadema.hawajawahi kuwa serious

Ukawa walikubaliana Mtatiro agombee Segerea, dakika za mwisho chadema. Wakabadili gia angani wakamteua Anatropia nae kugombea ubunge Segerea, kura zikagawanyika, CCM ikashinda
 
Vyama vyote vilivyopo TZ ni vyama vya upinzani wanapinzana ili watanzania wote tupate maendeleo ya kweli...

Sasa elimu ni muhimu sana Sisi wote bado hatujapaa elimu ya kutosha kutafsiri maana ya upinzani

Make mkijua ccm pia ni chama cha upinzani watanzania amkeni kuipenda nchi yenu sio vyamaa...mtu yeyote mwenye uwezo wa kuongoza maliasili zetu inabidi awe kiongozii tu sio kusemezana maneno ya kijingaa jingaa

Pia hakuna chama chenye madaraka juu ya vyama vingine...sema kwasababu ya njaa zetu acha tu tupelekane wote hawa watakufaaa tanzania ya kweli itabak kwa vjana kwaiyo vijana someni na muelewe mengii kuhusu kuongoza maliasili za nchi
 
Tunaposema kuwa huwa mnategemea nguvu kukaa madarakani, inakuwaje mishipa ya shingo inawatoka kwa kulazimisha kuwa mnakubalika?
Inua ubora wa Upinzani, basi! Huwezi kuruhusu kila mjinga aliye na wafuasi atake kutawala nchi. Never!
 
Back
Top Bottom