Hivi watu wanataka aseme vipi ndipo wamuelewe?Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Bunge letu na lenyewe ni hasara haliko kuisimamia serikali na hivi bunge hili ni kijani tu hakika wananchi tumepigwa na kitu kizitoWaanze na bunge la mazuzu..idadi yao ipunguze..na mishahara yao ipunguzwe..magari ya serikali na chama v8 zisitumike tutumie rand lover.
Kuna haja gani kulipa ma bilioni ya walipa kodi kwa vilaza na mazuzu..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄😄Kapigwa kitu kizito na wanywa urojo..pale jambiani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto, Mbatia, Mulema na cheyo ni kundi la wagagagigikoko wanaorusha mishale hovyo bila kulenga inaenda wapiKawaida ya wapinzani..........kuponda kila zama.........hata magu walimponda sana
Huwezi kuzima mjadara na makosa yaliyopo Leo kwa kusema wasiokuwepo ukidhani Watu watanyaza na kuogopa eti atasemwa Marehemu, Ni ushamba na ujinga kuendelea kusema wafuWapuuzi nyie ,mungu wenu kashaozeana chatttle huko,
Muacheni Samia apige kazi!
Mambo ni urojo urojo tu kwa kwenda mbele😂😂😂Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Mungu fundi sanaTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Wamwache kabisa afungue nchi.Si anaupiga mwingi na kuponya nchi?
Wapinzani ni wanafiki sanaSasa huyu ndo James mbatia ninayemjua ,sio James mbatia wa majuzi aliyekurupuka na kusema "Sasa mama anatuponya majeraha" wakati ndo kwanza majeraha yanachokonolewa !!, tunamshukuru Allah kwa kumrejeshea James mbatia akili zake.