James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

basi kama wameanza kuamka usingizini hawajachelewa kuybadili gia angani na kuchukua mazuri ya jpm kuyageuza kua agenda zao kuelekea ikulu 2025
 
Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Hivi watu wanataka aseme vipi ndipo wamuelewe?
Huyu rais ni wa hao watu. Yupo kulinda maslahi ya hao hao watu kuliko maslahi ya wananchi wa kawaida. Inashangaza kwa nini watu hawataki kumuelewa!
 
Waanze na bunge la mazuzu..idadi yao ipunguze..na mishahara yao ipunguzwe..magari ya serikali na chama v8 zisitumike tutumie rand lover.

Kuna haja gani kulipa ma bilioni ya walipa kodi kwa vilaza na mazuzu..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge letu na lenyewe ni hasara haliko kuisimamia serikali na hivi bunge hili ni kijani tu hakika wananchi tumepigwa na kitu kizito
 
Hawa ni wanasiasa malaya malaya ,kipindi cha jiwe mbona alikua hasemi na zile hela walizochukua na profeseri lipumbavu sasa zinawatokea puani
 
Hivi watu wanataka aseme vipi ndipo wamuelewe?
Huyu rais ni wa hao watu. Yupo kulinda maslahi ya hao hao watu kuliko maslahi ya wananchi wa kawaida. Inashangaza kwa nini watu hawataki kumuelewa!
Inauma sana
 
Wapuuzi nyie ,mungu wenu kashaozeana chatttle huko,

Muacheni Samia apige kazi!
Huwezi kuzima mjadara na makosa yaliyopo Leo kwa kusema wasiokuwepo ukidhani Watu watanyaza na kuogopa eti atasemwa Marehemu, Ni ushamba na ujinga kuendelea kusema wafu
 
Sasa huyu ndo James mbatia ninayemjua ,sio James mbatia wa majuzi aliyekurupuka na kusema "Sasa mama anatuponya majeraha" wakati ndo kwanza majeraha yanachokonolewa !!, tunamshukuru Allah kwa kumrejeshea James mbatia akili zake.
 
Wapinzani ni wanafiki sana
 
Back
Top Bottom