James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
9,256
2,000
Ni kwa taratibu mpaka akili ziwakae sawa, mara anaupiga mwingi leo mna neno jipya hapo...!
 

Wo shi niubi

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,093
2,000
Ombwe la uongozi ni kubwa, hakuna anae msikiliza Samia ilikuwa ni suala la muda tu kabla hamjaanza kujionea mauza uza, hatuna serious kiongozi, lakini pia tusimlaumu sana ni average president anaefanya vitu vya kawaida.
 

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
2,371
2,000
Ombwe la uongozi ni kubwa, hakuna anae msikiliza Samia ilikuwa ni suala la muda tu kabla hamjaanza kujionea mauza uza, hatuna serious kiongozi, lakini pia tusimlaumu sana ni average president anaefanya vitu vya kawaida.
Taja mfano wa ambacho kaagiza hajasikilizwa..

Mlizoea maisha ya bullying ya miaka 6 iliyopita kwa hiyo Hali hiyo hamuioni ndio maana unaongea mambo ya kufikirika
 

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
15,716
2,000
Mwenyekiti wa chama cha Nccr Mageuzi James Mbatia leo ameitisha waandishi wa habari na kumuwakia vikali rais Samia kutokana na upandaji holela wa bei huku rais akiwa amekaa kimya bila kuingilia kati.

Mbatia amehoji huu upandaji wa bei unalenga kumunufaisha nani ikiwa wanyonge wa nchi hii wanateseka bila kutetewa na viongozi.

Pia amesema haiwezekani serikali ya awamu ya kwanza isumbuliwe na upungufu wa sukari na serikali ya awamu ya 6 ambayo imepatikana baada ya miaka 60 nayo isumbuliwe na tatizo la sukari lazima kutakuwa na tatizo la kiuongozi.

My take.
Ni Mbatia huyuhuyu alisema mama anatuponya majeraha ,anaupiga mwingi.

Leo hata mwaka haujaisha anamuwakia tena kwamba Tanzania haina kiongozi?

Hivi tutaacha lini unafiki?


Mbatia ana bonge la hekalu hapa mbezi beach, anaishi vizuri sana kwa siasa zake za kuifanya nchi ionekane inao uwazi na demokrasia.

Huyu ukimuiga unaumia wakati yeye mfumo unamuokoa. Ni tajiri mmoja ambaye anakubalika mbele ya jamii. anajua kuishi na mfumo.
 

Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
974
1,000
Ukimwambia mwananchi mkataba kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo hawezi kuelewa na Hana muda wa kufuatilia. bila wananchi kuguswa na ishu km bei za bidhaa kupanda kuelewa unafiki wa viongozi n ngumu sana.
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,826
2,000
CCM wanawasifia kimya kimya kwenye vikao vyao vya ndaani ndani huko na kutuma kina pole pole na Makonda kwenda kuwanunua.
Angalia wote waliorubuniwa na kujiunga na CCM Ni watu waziri mpaka wanapewa madaraka makubwa serikalini. Mitano michache.
1. Yule mpenda bia baridi
2. Sidiriande
3. Tumbili
4. Jamaa yake tumbili
5. Jotokali
6. Mkuu wa wilaya moja pembezoni
7. Mzee mdee and co.
8. Kikumbo
Hii code ya tumbili nmeshindwa ku unlock

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,826
2,000
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
Waanze na bunge la mazuzu..idadi yao ipunguze..na mishahara yao ipunguzwe..magari ya serikali na chama v8 zisitumike tutumie rand lover.

Kuna haja gani kulipa ma bilioni ya walipa kodi kwa vilaza na mazuzu..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom