James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,064
2,000
Sasa huyu ndo James mbatia ninayemjua ,sio James mbatia wa majuzi aliyekurupuka na kusema "Sasa mama anatuponya majeraha" wakati ndo kwanza majeraha yanachokonolewa !!, tunamshukuru Allah kwa kumrejeshea James mbatia akili zake.
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,923

Wapinzani ni wanafiki sana
 
yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,255
2,000
Mbatia ameongea kweli tupu bila kujali anatoka chama gani ...wote tunashuhudia kwa macho hali umeme ilivyo ,maji nayo yamekuwa shida kila kona yaani hali imerudi kama kipindi cha kikwete... imerudi vile vile,vifaa vya ujenzi ndio useme kabisa

lakini kuna wapuuzi wachache watakwambia ni hali ya kawaida
 
Inasikitisha sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom