Bururu JF-Expert Member May 21, 2016 877 584 May 25, 2016 #2 Kama Waziri ni msikivu na Mwelewa atakaa na Wabunge wasaidiane.Mbatia kaongea kama Mtanzania mwenye nia njema kwa wote.
Kama Waziri ni msikivu na Mwelewa atakaa na Wabunge wasaidiane.Mbatia kaongea kama Mtanzania mwenye nia njema kwa wote.
aminiusiamini JF-Expert Member Aug 25, 2011 3,577 2,221 May 25, 2016 #6 Tatizo ni hawa wazee mizigo. Nashauri naomba raisi atafute watu wenye exposure na uelewa kuongoza hizi wizara. Kila siku tutalalammika hv.
Tatizo ni hawa wazee mizigo. Nashauri naomba raisi atafute watu wenye exposure na uelewa kuongoza hizi wizara. Kila siku tutalalammika hv.
Yohana Kilimba JF-Expert Member Dec 25, 2012 8,105 5,629 May 25, 2016 #7 Naona Ukosefu wa Bunge Live Unazidi Kuimarisa Wapinzani