Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,445
Haahahahhaa dah kumbe dingi wako alishaisoma namba kitambo.Namfahamu fika Mzee James Mapalala, sisi tulikuwa tukiishi Driver In Flats, Mafleti yeye akiishi Morocco pale Polisi walipojenga, ile 1984 aliandaa petition na kuipitisha home kwa dingi ili isainiwe, dingi alisaini, mtiti ulipoanza signatories wote wa ile petition cha moto walikipata!. Wanaomjua Nyerere jamani mwacheni tuu apumzike kwa amani!, Huyu Mwalimu alikuwa no nonsense man, hana mchezo kabisa! . Dingi aliopolewa na Murtaza Lakha alijenga hoja waliosaini hawakujua wana saini nini, ili jinai iwepo lazima kuwepo kwa actus reus na mens rea!
Wengine waachiwa Mapalala akaendelea kushikiliwa.
Pole yake