Ametoa mfano wa Mbunge wa Ulanga aliyemrithi Mama yake, na kukosoa vikali mfumo wa huo wa kurithisha Wabunge kwa kuwa hauna tija na ni janga kwa taifa.
Safi sana Mkuu. Bora umeliona hiloHuu ujumbe ni vizuri amfikishie Mzee Mtei mwanzilishi wa CHADEMA ambaye chama kamkabidhi Mkwewe Freeman Mbowe ambaye kaoa binti ya Mtei
Pia na yeye Lembeli kazeeka asiendelee tu kung'ang'ania kugombea apishe vijana sasa ona picha yake alivyozeeka
Wote wenye ubunge wa kurithi wamefedheshwa sana na huyu kijana , na nadhani hii itaamsha ccm kuacha kurithisha watoto wao madaraka .View attachment 359745
Ametoa mfano wa Mbunge wa Ulanga aliyemrithi Mama yake, na kukosoa vikali mfumo wa huo wa kurithisha Wabunge kwa kuwa hauna tija na ni janga kwa taifa.
Mbunge wa ulanga ametia aibu chama chake na familia yake pia .He real nailed it....
Invisible nisaidie kumuweka huyu kwenye ignore list!nimejaribu naona bado naona michango yakeSafi sana Mkuu. Bora umeliona hilo
Napenda kujua kama Lizaboni na YEHODYA ni wanadamu kweli kama walivyo wengine? i mean wana miguu miwili ? wana macho mawili? wana tumbo 1? wana masikio mawili? and the likes.
Wanasema siku hizi siyo buku saba tena, bali ni buku mbili!usihangaike na hao machokoraa, ni miongoni mwa wale malofa 46 waliopigiwa chapuo na Kikwete kwa Magufuli eti awakumbuke kwa kazi ya kijinga waliyoifanya kwa kujiondoa ufahamu kipindi cha uchaguzi. mpaka Leo Magufuli kaziba maskio wanaendelea kusota na buku 7 za Lumumba
Yaelekea mkiwa kama wanazi wa ccm huyu mbunge wa ulanga anawanogea kweli..... Hv mnaona anawafaa kweli??Ndio maana Ndesamburo kamrithisha Ubunge mwanaye Lucy Owenya. Ndio maana Freeman Mbowe kampa ubunge Baby wake Joyce Mukya ambaye mchango wake bungeni hauonekani
Lembeli amezeeka sawa, sasa ebu tuambie akili za Lembeli ukiringanisha na za Goodluck wa Ulanga na Lusinde ambao ni vijana vipi hapo je akili ni uzee au ujana?Huu ujumbe ni vizuri amfikishie Mzee Mtei mwanzilishi wa CHADEMA ambaye chama kamkabidhi Mkwewe Freeman Mbowe ambaye kaoa binti ya Mtei
Pia na yeye Lembeli kazeeka asiendelee tu kung'ang'ania kugombea apishe vijana sasa ona picha yake alivyozeeka