matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 126
Kwani unaoa ili iweje? jiulize hilo swali kwanza...
vipi huna mchumba?kam unaye yy anasemaje? Mi nakushauri ukiwa 3rd yr oa tu hata maisha yanabana yatajiseti mbeleni hakuna aliyezaliwa na nguo jembe langu
Hakuna cha formula kwenye kuoa...niliwaza kuoa nikiwa na 30s...matokeo yake now nina 26 nina mke na 1 kid (lovely babygirl) na kaz nzuri tu....nilihofia labda kuoa ni mzigo but i was wrong...mwana na mamaye ni kama wameniletea baraka ( alibeba mimba tukiwa chuo nikiwa mbele yake mwaka mmoja) soon baada ya kumaliza ka degree kangu (2010) nikapata kazi fasta tena ya ukweli till now naye kamaliza chuo na tuko naye maisha yanasonga kwa nguvu za Mola..
Kwani upo tayari kwa kuoa jiulize kwanza maswali!WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu unajua maisha ya bongo,naomba mchango wako
nafikiri ukiwa na ziada ya income yako yatosha kabisa.
Mungu as alisema 'nyumba na mali mtu hupewa na babaye lakini mke mwema Mtu hupewa na Mungu'jumamosi njema,