am here B!!huku kuna mamushka mwingine..karibu.ulitaka kusalimia tu?
homeboi kumbe na wewe ni mnazi wa kale katamsiliya?.............umekutana na Papushka hapa, karibu sana!
homeboi kumbe na wewe ni mnazi wa kale katamsiliya?
sasa taska unakunywa saa ngapi?...hehehe mswamuvee bwana.mi huwa nasimuliwa tu na wife
eeh!nadhani itabidi nijityuni na ka-ratiba kako!nipo home hapa nimejaribu kuiheshimu kwaresma kwa masaa kadhaa.nadhani ini limesafishika kwakweli.najicheki na valuu hapa.....actually, si mimi tu hata kabinti kangu ka 3.5yrs hukatoi hapo! vyaska Ijumaaaaa to Sunday.......! siku nyinginezo ndo kama hivi...nipo hapa namalizia kwa mkoloni ni sepe.....!
Thanx ila mwenzetu ndo umeingia jumla au unabeep tu?This is mamushka in, just wanting to say hello!
eeh!nadhani itabidi nijityuni na ka-ratiba kako!nipo home hapa nimejaribu kuiheshimu kwaresma kwa masaa kadhaa.nadhani ini limesafishika kwakweli.najicheki na valuu hapa