Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Jeuri dawa yake ni kiburi. JK alitukanwa na Mbowe akiambiwa kwamba anachokisema au anachokiahidi sicho anachokitenda. Ilikuwa ni kauli ya dharau kubwa sana kwa amiri jeshi wa nchi.Kwani lini Hawa Malofa waliwahi kufanya Siasa Za kistaarabu?
Umesahau matusi Yao Kwa Rais Muungwana Kwa Kuwa tu alikuwa mstaarabu?
Sasa hivi wamepoa Kwa uoga Sio Kwa sababu ya ustaarabu wala hikma
Fursa ya kufanikiwa wameipoteza 2005-2015 Sasa hivi wavute subira Kwani Mvumilivu Hali mbichi
Mbatia nae akamkashifu JK licha ya ukweli kuwa ni yeye aliyemteua kuwa mbunge. JK hakutendewa haki hata kidogo.
Ngosha ukimfuata kistaarabu atakuchukulia kistaarabu, ukijifanya kichwa ngumu atakupiga kichwani kama mtu anayeua nyoka.