Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

mimi nadhan hili ndo litakua solution,

nchi zenye vita sio kwamba hawapendi amani ni kutokana na watu kuchoka uonevu!!

bora vita tu itokee.

Ushauri mzuri ,wacha ifike hiyo 2020 tumalizane wenyewe Mtaani huku.
 
Hivi sasa hivi Mwinyi akiamua kurudi kwenye kiti chake haiwezekani??
 
Son of Gamba kwa mfano wewe unadhani njia gari bora itumike wakati njia zote za kidemokrasia zimeshindikana? hili ni jukwaa huru labda utuambie kwa mtazamom wako wewe ni njia gani inafaa? usikimbilie kwenye kutishia vita tu na ukadhani watu wanatishika kaka, weka hapa ni njia gani unadhani wewe zinafaa? mr mkiki nadhani umetumia maneno ya sitiari kidogo kuficha ukakasi wa bandiko lako, lakini kauli nzuri ni kuwa CHADEMA na muungano wote wa vyama watafute mbadala wa njia gani za kukabiliana na Jeshi la polisi. Hio hasa ndio ilikuwa kauli sahihi kutumia. Uchaguzi wa juzi Buyungu mgombea anasema walipelekwa Field Force 400 tena usiku mnene na Katibu mkuu CCM anasema vita ni wakati wote, sasa hapo unadhani kuna nini tena? kwenye bandiko lako ondoa neno intelijensia weka neno "Techniques za kupambana na jeshi la polisi na tume yake"

Dawa ya Jeshi la Polis ni ndogo Mkuu sababu tupo nao Mtaani kwa wingi ,haiwezekani Watuue kila Siku na kutuvunja Viungo vyetu.
 
Mkuu nani kasema njia zote za "kidemokrasia" zimeshindikana? Mimi naamini njia za halali za Kidemokrasia hazijashindikana bado. Tatizo ni CHADEMA wenyewe, kila uchaguzi wakishindwa wanakuja na visingizio kuwa "wamehujumiwa", hata siku moja hawajawahi kukubali kushindwa kistaarabu.

Suluhisho ni CHADEMA wakae chini wajitafakari upya na siasa zao, Watanzania wamechoka siasa za matukio, sasa hivi wanataka maendeleo na hayo wanaona kwa macho yao jinsi Rais wao anavyojitahidi kuwaletea maendeleo. Ndiyo maana kila uchaguzi wa marudio unapofanyika Watanzania wanachagua CCM sababu imewahakikishia maendeleo wanayotaka.

Sasa ili CHADEMA waweze kushinda kwenye chaguzi zijazo na wao waje na SERA na MIKAKATI ya KIMAENDELEO itakayowavutia Watanzania hata waweze kuwachagua na siyo kubakia kulia lia tu na kusema wameibiwa kura.
Q..a wewe
 
Wewe umeshawahi "kufa" hadi useme ni furaha kufa?????

Mkuu ni hivi, watu wamechoka na hakuna anayejali maendeleo yanayohubiriwa. Sidhani kama serekali hii imeleta au itakaa ifikie maendeleo ya makaburu wa Africa kusini na bado waliondolewa madarakani. Maendeleo ni haki yetu kwani tunalipa kodi na sio hisani ya kiongozi. Iweje mtu ashinde bila ridhaa kwa kisingizio cha kuleta maendeleo wakati hela anayotumia sio yake binafsi? Machafuko pekee ndio njia sahihi ya huu ukatili.
 
ndugu

inaonesha wew ndo mgeni kweny hii nchi

kama huwajuu walompiga tundu lisu risasi 38 vungaaa

inaonesha unaongea while umekalia m....o
Mkuu mimi ninapojadili uzi huwa najadili kwa hoja na siyo matusi. Kama wewe hoja zimekuishia kaa kimya na siyo kuanza kutukana watu, siku zote ukiona mtu ana kimbilia kutukana fahamu kwamba mtu huyo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.

Sina haja ya kuendelea kujadiliana na wewe sababu huna hoja za msingi, bali umejawa na matusi.

Cc. Moderator
 
Huyu LOFA anasema hatuwezi kuheshimiana hadi tumwage damu. Ndiyo maana Mzee Ben aliwaita malofa na wapumbavu,
Sijui anaandika tu bila fikilio, haya mwaga hiyo damu kama wanaume kweli, Ukuta mlishindwa maandamano ya fesibuku mmeshindwa alafu unaongea kumwaga damu.

Hili taifa tulikuwa tunataka maeendeleo tu na si siasa hata Chadema walikuwa wakihubili maendeleo ya nchi yetu tulianza kuwaamini tukashangaa baadaye wanapinga kilakitu hata Elimu bule ambayo ilikuwa sera yao wanaipinga.

Naomba vyombo vya usalama vimkamate huyu jamaa aunganishwe na akina Freeman mboye ktk kesi yao maana Mboe alisema lazima wafe watu 100 au 200 sasa yupo ktk kesi hili apate kujifunza.
Bule = bure
Fikilia = fikiria
Jifunze kwanza kuandika kabla ya kupost pumba zako.
 
Yaani mnanipa kichefuchefu nyie wana Bavicha ningekuwa karibu yenu ningewapa mambo kama haya
tenor-3.gif
 
Mkuu Watanzania ndiyo wanaopiga kura na wao ndiyo wanaamua nani wamchague. Hata ukisema watu wamtenge mbunge anayehama chama, watamtenga vipi wakati wanakubaliana naye?? Nasema wanakubaliana naye maana hata uchaguzi ukirudiwa, yule anayehamia CCM ndiye anayeshinda, hiyo ni kilelezo tosha kuwa wananchi wa jimboni kwake wanakubaliana naye.

Tatizo ni CHADEMA kutokuwa na SERA za MAENDELEO KWA WANANCHI, na wananchi wamechoka na sera za maandamano kila siku, watu wanataka maendeleo kama anavyofanya Rais wao Magufuli.
CCM haishindi uchaguzi inapora uchaguzi
 
Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.

Aliyekudanganya sheria zinafuatw sasa hivi ni nani? Unadhani hao wanajeshi ni vipofu hawaoni huu ukiukwaji wa sheria? Hilo jeshi limejaa wanajeshi vijana kibao na hawaikubali hiyo ccm. Wao wanangoja wananchi walianzishe kisha waingilie. Kama unadhani mwenyekiti wa ccm kutumia nafasi yake ya uamiri jeshi mkuu kwa faida ya chama chake hapo umeumia. Wananchi wameichoka ccm na ndio maana hawajitokezi kwa wingi kupiga kura. Na hili la wapiga kura kupungua ni dalili kwamba hamkubaliki. Mmejisahau mnadhani jeshi ni kitengo cha ccm, na kwa taarifa hilo jeshi limewachoka linatungoja tu sisi wananchi tulianzishe. Rejea matumizi ya Mugabe kwa jeshi huko Zimbabwe na jeshi lilivyomgeuka.
 
Hujui uliloliandika. Nadhani umaendika ukiwa umekunja ndita. CDM wawe na inteligensia halafu CCM wenye madaraka yote wasiwe nayo!!.
 
Mkuu mimi ninapojadili uzi huwa najadili kwa hoja na siyo matusi. Kama wewe hoja zimekuishia kaa kimya na siyo kuanza kutukana watu, siku zote ukiona mtu ana kimbilia kutukana fahamu kwamba mtu huyo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.

Sina haja ya kuendelea kujadiliana na wewe sababu huna hoja za msingi, bali umejawa na matusi.

Cc. Moderator


hoja unazijua?

au unaongea ongea tu kmmmk natukana coz unaongea pumba!!

yan naona kama vile nabishana nazezeta
 
Back
Top Bottom