Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.
Hata Gadafi alikuwa nalo.Laurent Gbagbo vile vile.Wako wapi?
 
Mimi nasubiri tu,kuna watu wanalazimisha kuona damu za watanzania,wataziona tu.Nchi imepata viongozi washenzi na wauaji haijawahi tokea.
 
Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.

Hakuna anetaka vita mkuu, watu wanataka suluhu ije yenyewe maana hakuna wa kuileta!!
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
jinga kubwa ww
 
Endelea kujidanganya mkuu, hii nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Tena inalo jeshi la ulinzi lililo imara kweli kweli, watu kama ninyi mtashughulikiwa na hamtajua nani amewashughulikia.

Fanyeni siasa, mambo ya vita hamuyawezi hata kidogo.

ukute we ni nape nauye!!
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Mkiitwa wasengerema na wapumbavu huwa mnakasirika na kuagiza watu wauawe
 
Mkuu Watanzania ndiyo wanaopiga kura na wao ndiyo wanaamua nani wamchague. Hata ukisema watu wamtenge mbunge anayehama chama, watamtenga vipi wakati wanakubaliana naye?? Nasema wanakubaliana naye maana hata uchaguzi ukirudiwa, yule anayehamia CCM ndiye anayeshinda, hiyo ni kilelezo tosha kuwa wananchi wa jimboni kwake wanakubaliana naye.

Tatizo ni CHADEMA kutokuwa na SERA za MAENDELEO KWA WANANCHI, na wananchi wamechoka na sera za maandamano kila siku, watu wanataka maendeleo kama anavyofanya Rais wao Magufuli.
Mkuu,
tusiandikie mate natujaribu tuone!
 
maendelea gani ?? kwann ccm watumie polisi katika uchaguzi?? kwann ccm wanunue wapinzani? kwann ccm waue wapinzani??

kwann itumike nguvu nyingi kweny suala la uchaguzi??
Hakuna hoja yoyote ya msingi hapo, Unauliza maendeleo gani, wewe ni mgeni hapa Tanzania na huoni kinachofanywa na Serikali sasa hivi??

Polisi wanatumika kulinda raia na mali zao. Ulitaka wakati wa uchaguzi polisi wasifanye kazi zao za kuwalinda raia na mali zao??

Unaposema wapinzani wamenunuliwa, unao ushahidi unaoonesha kuwa kuna mtu amenunuliwa? Na kama siasa ni biashara ya kuwanunua wanachama ninyi mnashindwa nini kuwanunua hao wanachama??

Ukisema CCM inaua wapinzani, unaweza kutuambia nani ameuliwa na CCM ukiwa na ushahidi tosha kabisa?
 
Mkuu unazani MACCM wanataka majadiliano?
Kwa hiyo wewe mkuu unataka VITA!
Mleta mada yuko sahihi 100% . Vyama vingi vilivyokaa madarakani kwa mudu mrefu, huondolewa kwa vurugu kwa kuwa tu hukuona wana hati miliki ya taifa lolote.
Au kwa kuvipandikizia watu kama ilivyo tokea USSR Urusi ya zamani.

CCM pia tukubali walikuwa vizuri kabla huyu jamaa anayesema ni marufuku kwa watendaji kuwa neutral. Na hakuna ruhusa kumtangaza mpinzani wake .
Utafanyaje Siasa safi wakati mpinzani wako keshaamuru vyombo vya dola na watendaji kutokuwa neutral ??!!
 
Mkuu,
tusiandikie mate natujaribu tuone!
Unaposema "tujaribu tuone" unataka kujaribu na nani??....kama unataka kujaribu vita basi mchukue mkeo na watoto wako wavalishe mabomu, ndiyo mjaribu hiyo vita, sisi usituambie huo UJINGA wako mkuu.

Sisi Watanzania wengine tunataka "amani" na "utulivu" kwenye nchi yetu, hayo mambo ya vita na ugaidi hatutaki kuyasikia kabisa!
 
Chadema walikuwa wanawapiga wazee watu wazima kisa kuvaa sare za Chama cha Mapinduzi,nimeshuhudia sijahidithiwa.

Na mpaka leo kuna watu wanauchungu sana,basi tu kwasababu ya sheria
Wazee walikuwa wanasukumwa mitaroni na hawa watoto wa Bavicha.
Q..a wewe
 
Hakuna hoja yoyote ya msingi hapo, Unauliza maendeleo gani, wewe ni mgeni hapa Tanzania na huoni kinachofanywa na Serikali sasa hivi??

Polisi wanatumika kulinda raia na mali zao. Ulitaka wakati wa uchaguzi polisi wasifanye kazi zao za kuwalinda raia na mali zao??

Unaposema wapinzani wamenunuliwa, unao ushahidi unaoonesha kuwa kuna mtu amenunuliwa? Na kama siasa ni biashara ya kuwanunua wanachama ninyi mnashindwa nini kuwanunua hao wanachama??

Ukisema CCM inaua wapinzani, unaweza kutuambia nani ameuliwa na CCM ukiwa na ushahidi tosha kabisa?

ndugu

inaonesha wew ndo mgeni kweny hii nchi

kama huwajuu walompiga tundu lisu risasi 38 vungaaa

inaonesha unaongea while umekalia m....o
 
Mkuu vita unaijua au unaisikia tu kwa wenzako?? Haya mambo siyo ya kushabikia shabikia tu kama mpira vile. Ukitaka kuijua vita au harufu ya vita hebu safiri mpaka Syria ukaone kinachotokea kisha ndio utajua vita ni nini.

Mimi naamini kuna namna zingine za kupata solution kwenye mitafaruku lakini siyo vita, vita iacheni tu kwa majirani lakini siyo hapa kwetu.

Kinachozuia vita hapa kwetu ni cdm kukalia kimya kuumizwa na kufanyiwa unyama wa wazi. Sasa cdm hawapaswi kukaa kimya tena kwa hali ilipofikia. Hiyo suluhu inapatikana wapi wakati watu wanazidi kuumizwa tu?
 
Nayo ni maisha pia
IMG-20171129-WA0104.jpg

Haya ni maisha?! ya kitumwa huko libya.
 
Unaposema "tujaribu tuone" unataka kujaribu na nani??....kama unataka kujaribu vita basi mchukue mkeo na watoto wako wavalishe mabomu, ndiyo mjaribu hiyo vita, sisi usituambie huo UJINGA wako mkuu.

Sisi Watanzania wengine tunataka "amani" na "utulivu" kwenye nchi yetu, hayo mambo ya vita na ugaidi hatutaki kuyasikia kabisa!

Nilisema tujaribu kuwgomea hao uliosema tuliwachagua tuone! hilo ndio ninaloliongea mimi...wewe si ulisema tuliwachagua? basi na tujaribu sisi raia kuwagomea uone ni wangapi hawatawagomea? Naona umekuwa mkali kijana....
Ni simple fanyeni haki na amani itakuwa bure kabisa! amani ni vitendo sio mpeige domo tu! Amani ni pande zote sio kwa upande fulani tu!
 
Back
Top Bottom