Jambo Usilolijua: Rais Mwinyi - Nyerere hakuwa Mdini wala Mkabila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo Usilolijua: Rais Mwinyi - Nyerere hakuwa Mdini wala Mkabila

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 23, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mojawapo ya watu waliowahi kuwa karibu na Nyerere ni Mzee Ali Hassani Mwinyi ambaye aliteuliwa na Nyerere kuwa Waziri wa Muungano kwa mara ya kwanza mwaka 1970 baada ya kupendekezwa na Rais Karume. Hata baadaye alipopendekezwa kuwa Mrithi wa Nyerere kwa watu wengi hawakujua kwanini "Mwinyi". Wengu wetu hatukujua kwa ukaribu Nyerere alimfahamu vipi Mwinyi hadi kuwa tayari kumuachia Taifa letu changa. Mwinyi amekuja kuandika baadaye katika kile ambacho naweza kuita ni Utetezi wake wa wazi wa Nyerere dhidi ya tuhuma za Ukabila na Udini ambazo zimekuwa zikitolewa mara kwa mara. Anasema hivi - katika sehemu ya utetezi huo.

  Religious tolerance was the hallmark of Nyerere’s Administration. Mwalimu handled the potentially explosive situation of a multi-religious society superbly. From the very outset he warned strongly against mixing religion with politics while allowing complete freedom of worship. Despite being a Catholic, his respect for other religions, like Islam, for example, was exemplary.

  (msisitizo wangu)

  Ukweli ni kuwa hadi hivi sasa hakuna mtu hata mmoja ambaye amewahi kuonesha ushahidi wa kauli, barua, maneno au hata vitendo ambavo vinaweza kutupa mwanga kuwa Nyerere alikuwa mkabila au alikuwa ni mdini kwa kupendelea watu wa dini yake au hata kutoa kauli mbovu ya dharau dhidi ya watu wa dini nyingine. NONE. Wengi wanatusimulia maneno ya kuambiwa tu yasiyo na ushahidi hata wa kusingizia. Mwinyi anasema "we miss him very much". I wonder why.
   

  Attached Files:

 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Mwinyi hana credibility ya kuusemea udini! Au hukumbuki alivyokula kofi kwa mambo ya dini?

  Wewe Mwanakijiji unakaanga mbuyu uwache wenye meno watafune.

  Nakisia kitu fulani kuhusu wewe, lazima utakuwa ni mtu mfupi kuliko kawaida.
   
 3. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mkuu wa kijiji
  Matatizo ya udini yameanza kwa mh. Ally Hassan Mwinyi, "kamwulize Harun Mahundi alipomteua kuwa IGP alimwambia nini" endapo atakuwa tayari kusema ndo utajua mzee alikuwa mdini au lahasha.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dont kill the messanger, jibu hoja. Siasa za maji taka zimetuchosha. Unasikia nini kama sio umbeya. You've flashed this nation's potentials down the toilet kwa tabia za umbeya na personal attacks. No anymore! Narudia, jibu hoja.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Huwezi kumpenda mtu zaidi ya vile alivyojipenda mwenyewe. Watu wengi wanajidanganya na kuhisi kuwa wanampenda Nyerere kiasi cha kuwa viziwi na vipofu, japokuwa macho na masikio wanayo. Huo siyo upendo ni wendawazimu.
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji una ugomvi na malaria sugu,ngoja aamke
   
 7. K

  KAMALELA JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  MMJ huyu mtun anayeitwa FAIZZAFOXY unamfahamu au analazimisha kukujua? maelezo yote uliyotoa pamoja na references kutoka kwa mzee wetu Mwinyi bado anakudhihaki! ama kweli mwenda wazimu msomi ni sawa tu na mwenda wazimu mjinga... hawapishani.
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Lazima na wewe utakuwa ni mrefu kuliko kawaida.
   
 9. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0  "In public Mwalimu Nyerere was a fierce defender of secularism. It is therefore quite disturbing to learn that in private he championed the sectional interests of his own church. In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope's Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party's National Executive Committee (NEC) two members
  were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people (van Bergen, 1981:333-336).

  It is quite obvious that by "good people" Mwalimu Nyerere meant Christians in general and Roman Catholics in particular. It is not surprising therefore that Sivalon (1992:49) reports that in the same year 1970 Roman Catholics could boast that they constituted 70% of the 75% elected Christian members of Parliament. Out of the 108 elected Members of Parliament, 23 were Muslim, 5 Traditionalist and 80 Christian. Throughout his rule Nyerere was both President and Chairman of the ruling Party. His promise to strengthen Catholicism was not an empty one. Catholics could now use Parliament to promote their religious interests if they so wished."

  -Chapter 1, Mwembechai Killings: Difficult problems, Easy Answers (Hamza Njozi 2000)
   
 10. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I hope this thread haitofungwa kwa sababu tuu ya watu kulalamika kuwa ina udini kwani yenyewe inazungumzia dini tena miaka 50 iliyopita
   
 11. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Hatuhitaji ushahidi wa kauli wala maandiko bali wa vitendo. Nashangaa umakini aliokuwa nao Nyerere ameondoka madarakani akiacha Waislamu wakiwa hali duni ya Kimaendeleo. Kielimu wao ndio wako chini na kimikowa ile wanayoishi Waislamu wengi ndio iko chini.
  Ama kwa ukabila kitendo chake cha kusingle out kabila fulani kama kigezo cha kutobezwa si kitu chengine bali ni kuonyesha hasira yake kwa makabila makubwa. Mwanakijiji wewe ni Mkristo na mimi ni Muislamu na kwa vile wewe umeridhika na hali aliyoiweka Nyerere dhidi ya Uislamu nafikiri hatutofika pahala tukakubaliana na hoja zako. Hivyo kurecite Quran kwa ajili ya gain ya kisiasa unaweza ukatowa kuwa ni ushuhuda wa mtu kuwa haichukii dini fulani? Kama kweli anajali dini zote kwanini uwaondolee msingi wa kuabudu wale unaosema kuwa unawajali katika dini yao? Kwanini aliondowa Mahakama ya Kadhi wakati akijuwa kuwa kwa Waislamu hilo ni jambo muhimu?
  Katika historia ya Tanzania tumekuwa tukijali makundi yaliyokuwa nyuma kimaendeleo jee Nyerere alichukuwa hatuwa gani katika kuondowa mfumo kristo uliokuwepo wakati wake hata kuendelea mpaka sasa hivi?
   
 12. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anayosema Foxy ni sahihi kabisa. Iwapo kiongozi Muislamu anasimama na kuipigia debe condom basi hyuo si katika uislamu tu hata ukristo hafai. Usimlamu Foxy kwa kusema ukweli.
   
 13. S

  Shamu JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwkjj thinking, anaposema Nyerere siyo mdini, basi ujue the answer is Nyerere ni Mdini. You're good. I get it.
   
 14. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Ni opportunist tu sasa kwa kutumia hiyo hiyo ignrance ya hao watu wa dini wameamua hata mnawafungulia watoto vituo vya kucheza kungfu. Wenzenu Sunday school wanafundishwa watoto hesabu. Alafu unasema mnaonewa.
   
 15. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Hoja ni kuwa ameleta 'testimony' ya mtu aliyefanya kazi na Nyerere kwa ukaribu sana. Mzee Mwinyi hakuandika maneno haya kama Sheikh bali Ali H.Mwinyi ambaye ametokea pia kuwa rais wa nchi hii na anadini anayoamini kama watanzania wengine. Anatoa ushuhuda wake alivyomfahamu mwalimu katika kukemea au kuheshimu dini.

  Pili, hakuna mwanadamu aliye na mamlaka ya kumhukumu mwanandamu mwenzie, ama kwa waja wote amali zao zipo mbele ya Allah S.W.T.
  Mzee Mwinyi aliongelea kondom kama yeye na kama yu sahihi au la, hukumu yake ipo mbele ya haki.

  Ni unafiki kusema yule hafai kwasababu ABCD. Mwinyi katamka kondom imeonekana hafai, je tunajua usiku au mafichoni hao waumini au viongozi wao wanafanya nini? ''....... akasema aliyemsafi miongoni mwenu aanze kutupa jiwe''

  Turudi kwenye mada, hii article ya MMKJ inatupa testimony ya sehemu moja na kama kuna article iliyoandikwa ikieleza hali nyingine tofauti iwekwe ili tuzidi kuongeza uelewa wetu.
   
 16. ngamiamzee

  ngamiamzee JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka ndiyo maana akupewa ulinzi wa majini ya SHEKH yamlinde
  kama alivyopewa yule Rais wa kule ngambo ya pili yule anayesema Taifa
  lake lina maendeleo makubwa sana kwani kwa wingi wa foleni bara barani
  magari kusongamana basi mjue wananchi wake ni matajiri kwani mpaka
  mabara bara yamejaa magari aina pakupumlia ndicho kipimo cha maendeleo
  Mnataka maendeleo ngani tena ?
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,194
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! Kwa hiyo wale wote wanaomtetea Mwalimu kwamba kafanya mengi sana kwa ajili ya nchi yetu ukilinganisha na Mwinyi, Mkapa na Kikwete na pia alikuwa na maadili mema katika uongozi wote ni wendawazimu! lakini wale wote wanaomkandiya Mwalimu ndio wenye akili timamu!
   
 18. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Mkuu, inasikitisha kweli.
  Kwa baadhi ya watu, kung'ang'ania na hoja zinazosukumwa na chuki, ndio busara eti. Ukimtetea Nyerere kwa hoja, wewe ni mwenda wazimu. Ukimkandia na kumbambikizia makosa ya uongo, wewe ndio una busara na una hoja zilizoenda shule. ha ha ha!
   
 19. T

  Technology JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mwanakijiji: You are wasting your time for writing all these, you will never mislead anyone. we knows the facts and it is s o obvious. Both Cristians and muslims knows how much muslims were humiliated by Nyerere and his Govt. I dont know who pays you o do this shit!!!!
  You are so lucky to get the platform to talk about UDINI and ocourse you lies a lot, and people feels that it is ok.
  It is very unfortunate that you will never destruct Islam/muslims because its foundation is very strong, you can only shaake weaker muslims
   
 20. a

  andry surlbaran Senior Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  ha ha ha ha nimefurahu sana, kumbe ile statement ili tuudhi wengi dah! kila nikiwa kwenye foleni huwa naikumbuka!! wakwe.re bwana!! weupeee peeee!!
   
Loading...