Jambo Usilolijua: Nyerere alipokea Taifa la namna gani? Mpango wa Kwanza wa Maendeleo 1961

Mwanakijiji unafanya vema...you help us to have a place to start benchmarking Nyerere and the rest in terms of what they have done for this country. Kuna watu wanafikiri umepita muda mrefu na mambo aliyofanya Nyerere pia shameshasahaulika ati kwasababu leo tunahangaika kwa kushondwa kuongoza.....kama alivyowahi sema, great ideas never die so easily....they keep on nagging
 
Mwanakijiji ahsante sana kwa hii nyaraka, tutaimega kidogo kidogo ili twende sambamba sote. Mambo ni mazito na hayawezekani kuchambuliwa mara moja na wale wanaomtuhumu Mzee wa watu wakawa on the same page.

Dalili za jinsi alivyoichukua nchi.
Page 8 paragraph 1 and 2: '' ........... there is a most pressing need to provide cadres of trained people necessary for technical, clerical and skilled work both in government and in the private sector''
Pg 16: '............purchase of photographic and projection equipments and .........modern printing equipment"
Kwamba nchi wakati huo ilikuwa inahitaji technical staff na clerical na sio professionals kwa sababu hata hao hawakupatikana.

Page 8 paragraph 3: ".............. short term will be that of laying foundation growth of output and incomes rather than immediate increase......'
Tumeeleza katika mijadala mbali mbali kuwa kazi ya Nyerere hatuwezi kuifananisha na waliofuata kwasababu yeye alikuwa ana 'lay foundation"

Hoja inaungwa mkono zaidi na Paragraph 4 ya ukurasa huo huo:
''It must not be forgotten that a large proportion of the expenditure is being devoted to training and to the provision of institutions necessary.................The economic effect of the former will be felt in the long run and in the case of the later it will be indirect or relatively small'

Page 7 last paragraph:
"The devolpment of communication and in particular feeder roads in rural areas"
Pg13 last paragraph: "The size of feeder road programme is limited by number of surveyors available, a factor not affecting the main trunk road programme which will be carried out by contractors"

Katika viongozi waliofuata nani alianza na technical staff? Leo kuna professionals wangapi?
Kiongozi gani anajenga training institutions for technical cadres ukiacha alizojenga Nyerere
Kiongozi gani anajenga feeder road sasa kama zilishajengwa na Nyerere?
Angalia mgawanyo wa rasilimali kidogo ulivyozingatia umuhimu wa ujenzi wa bara bara.

Tuendelee kuchambua

Mkuu nimependa uchambuzi wako wakina, na hii inaonyesha ulivyokuwa makini kuupitia mpango mzima
Hapo kwenye nyekundu mimi binafsi inaniuma sana, maana hivi kweli Tangu Nyerere hakuna kiongozi aliyeweza kujenga kitu kama DarTec, MbeyaTec na ArushaTec?
Kibaya kabisa kinachofanyika sasa ni kuvibadilisha hivyo vyuo kuwa Universities, Hivi Maengeneer ndio watenda kazi ama ni wabuni na wapanga kazi?
Hivi nchi itaendeleaje bila kuwa na fundi mchundo?
Licha ya Ajira zilizokuwa serikalini wakati huo, lakini Product ya Hivyo vyuo ilikuwa na uwezo kamilifu wa kujiajiri/kufanya kazi binafsi

Hivi kweli Viongozi wetu na washauri wao wameshindwa kujua kizuri ni kipi na kibaya ni kipi? ama ni tatizo la kukosa uzalendo tu?
 
Nyerere alijenga institutions nyingi na viwanda vingi na mashirika ambavyo ndio Mkapa akaja kubinafsisha. kumbuka Mkapa hakuleta uzalishaji mpya, aliuza hiki na kile cha Nyerere, akakusanya kodi - basi. Alichofanya Mwinyi ni kufungulia milango wezi kuja kutuibia mpaka wanyama, na kuacha kukusanya kodi, na kuruhusu bidhaa ziingie kwa wingi, basi. hawakujenga institutions kwa level inayosogelea Nyerere.

Ni kweli Nyerere alijenga institutions nyingi zikiwemo viwanda, mashirika na makampuni kwa kutumia raslimali za umma ambazo zilizhitaji consesus ya watanzannia woye lakini pia kutokana siasa, sera na uendshai mbovu wa kukumbatia siais na makada aliziua insitutions hizi na kutumia fedha nyingi sana katika kuzisubsidies institutions hizi kwa kutumia fedha za walipa kodi, fedha za mauzo ya mazao na bidha zetu nje na misaada kiasi cha Serikali yake kushindwa kabisa kutoa huduma kwa watanzania. Hivyo kudai kuwa Mwinyi na Mkapa waliuza vibrant institutions ni uongo kabisa labda tuwadanganye watoto wa juzi juzi ambao wanakiri wenye wenyewe theyknow nothing about those days. Ukwlei ni kwamba Mwalimu Nyerere anahusiuka kwa 100% kwa matatizo tuliyonayo hadi leo hi kwa kusupree freedom of speech, association and expression. In short he was nothing but a merer dictator!!!!

Lakini ndugu yangu, unataka kuniambia kwamba Nyerere alizuia watafiti wasifanye utafiti wao? kwa sababu mpaka sasa hivi hatuna utaratibu wa kuwaenzi waliofanya chochote hapa kwetu. lakini hatuwezi kumrundikia kila kitu Nyerere. for sure Nyerere hakupenda kusifiwa moja kwa moja, na ndio maana wakati wa uongozi wake hapakuwa na kitu kama barabara ya Nyerere, Nyerere theatre, nk. lakini kama mpaka sasa hivi hatuwezi kuandika historia yetu - watafiti wetu hawajafanya hayo - tumlaumu bado Nyerere? vipaumbele vyetu ni nini hasa? ni nani aliyefanya kazi kubwa sana kuimarisha utamaduni wetu na kuuenzi uafrika?


[/SIZE][/QUOTE]
 
Wakati wa Nyerere tulikuwa na Negative growth. Study hizi Statistic ili uone ukweli.




Although a small segment of Tanzanians with secure access to employment in the public and business sectors enjoy a relatively high standard of living, the vast majority of Tanzanians live in poverty. Indeed, the United Nations Development Programme 's (UNDP) human development index (HDI) listings, which arranges countries according to their overall level of human development, ranks Tanzania 156th out of a total of 174 nations. The HDI, a composite index (one that assesses more than one variable) that measures life expectancy at birth, adult literacy rate, school enrollment ratio, and GDP per capita , is indicative of a country's general social and economic well-being. As such, Tanzania's HDI ranking demonstrates that the country is one of the poorest and least developed in the world.
Under the socialist policies of Julius Nyerere, the Tanzanian government focused heavily on achieving social equity through the development of a strong health and education sector. Inequality in the early years of Ujamaa was mainly the result of the colonial legacy in which some peasants were connected to the cash crop export economy while others were not. Those that lived in areas favorable for cash crop production enjoyed a slightly higher standard of living than their subsistence peasant


GDP per Capita (US$)
Country 1975 1980 1985 1990 1998
TanzaniaN/AN/AN/A175173
United States19,36421,52923,20025,36329,683
Dem. Rep. of Congo392313293247127
Kenya301337320355334
SOURCE: United Nations. Human Development Report 2000; Trends in human development and per capita income.





Distribution of Income or Consumption by Percentage Share: Tanzania
Lowest 10%2.8
Lowest 20%6.8
Second 20%11.0
Third 20%15.1
Fourth 20%21.6
Highest 20%45.5
Highest 10%30.1
Survey year: 1993
Note: This information refers to expenditure shares by percentiles of the population and is ranked by per capita expenditure.
SOURCE: 2000 World Development Indicators [CD-ROM].



counterparts. Though Nyerere's social policies were generous, they were unsustainable in a context of economic crisis and negligible growth. Moreover, many critics, such as Enos S. Bukuku, the author of The Tanzanian Economy: Income Distribution and Economic Growth, argue that Nyerere's development policies promoted the modern, nascent industrial sector, at the expense of agriculture. The result was actually increased poverty in the countryside, and the creation of a few highly skilled and highly paid jobs associated with the parastatals and policies of import substitution industrialization.
Today, the cleavage (division; in this case economic) between the general peasantry and those with higher-paying jobs in the urban centers persists, though this type of inequality is characteristic of most countries that are still in the throes of the development process. According to the CIA World Factbook , the poorest 10 percent of the Tanzanian population consume a marginal 2.9 percent of total national consumption, while the richest 10 percent consume 30.2 percent. In 1998, the GNP per capita in Tanzania was estimated at a paltry US$220, whereas the GNP per capita in the United States was US$29,240 in the same year.
Social policy in Tanzania is currently guided by the so-called "Vision 2025," a comprehensive framework emphasizing 7 priority areas linked to overall poverty reduction. In 2000-01, the Tanzanian government allocated its budget amid these 7 priority areas as follows: education (23.2 percent), health (8.4 percent), roads (6.4 percent), agriculture (1.0 percent), judiciary (1.0 percent), water (0.6 percent), and HIV/AIDS (0.6 percent). While the government's coherent strategy is a welcomed development, the IMF notes that it needs work in some areas, including education, promotion of agricultural/rural development, gender strategies, and a more comprehensive approach to HIV/AIDS and the environment.
The vast majority of Tanzanians spend their meager incomes on the basic necessities of life, such as food, rent, clothing, fuel, and transportation. Very little is spent on entertainment and recreation, which are considered luxuries for those that live in considerable poverty.make matters worse, in the past 10 years the increase in the GNP per capita has been grossly outweighed by mounting inflation , which means that Tanzanians are having an increasingly difficult time purchasing the commodities essential for human existence. The UNDP estimates that the annual growth rate in GNP per capita between 1990 to 1998 was 0.4 percent, while the average annual rate of inflation during the same period was 24.3 percent

Read more: Tanzania Poverty and wealth, Information about Poverty and wealth in Tanzania Tanzania Poverty and wealth, Information about Poverty and wealth in Tanzania

Mkuu details zako ni sahihi. Nakumbuka hata Primary School Kwenye somo la Geography Uzalishaji wa chakula baada ya kupata Uhuru ulikuwa unashuka Mwaka hadi Mwaka. Sasa fikiria, kama The Tanzanian population inaongezeka na food production inashuka what are the Results?

Another indicator ya kuangalia, pengine ni Tanzanian Exports na Imports throughtout Mwalimu's administration and beyond. Nachoweza kuchangia ni kuwa Mwalimu baada ya kutaifisha Mashamba kutoka kwa the Big Farm producers without first, learning methods mass commercial production was a major contributing factor to the decline in farming.

The only genuine legacy is he did not touch the Mineral wealth of this country, which now is being given away for nothing!
 
Kumpa heshima mtu au kiongozi si pale tu anapoanza kuongoza, bali hata pale anapomaliza. Lakini linapokuja suala la Nyerere lazima tujue nini dhumuni lake la kuwa kiongozi wa TZ? na je alimaliza vipi kazi yake? Jibu, Alitakiwa awaongoze WTZ na kuwapa prosperity ya maisha, elimu, nk. Ktk hilo kafeli. Nyerere kama kiongozi wa nchi katumia madaraka yake kama Rais kuwafunga WTZ jela bila ya sababu, kawanyima haki za msingi Freedom. Kama unataka kumpa heshima kwa sababu ya Uhuru tu- sawa. Lakini linapokuja suala la kuongoza nchi, kuheshimu sheria za nchi, kafeli tena vibaya sana. Duniani kiongozi anapewa heshima pale anapoanza na aitunze mpaka pale atakapomaliza. Nyerere alishindwa kumaliza. Ukiangalia hata ktk leadership skills kama, umefeli mwishoni, basi wewe unaehesabika kama FAILURE. Kwa matiki hii, Nyerere yupo ktk group la FAILURE.
Mimi naamini katika kila mtu kuwa na mawazo yake. una haki kabisa kuamini unachotaka. nimepitia hoja mbalimbali ulizotoa katika mada hii, pia majibu ambayo umepewa na watu mbalimbali, mimi na mzee Mwanakijiji tumekuchambulia mambo kadhaa. lakini inaonekana wewe huangalii hoja, au umetiwa upofu na hatred uliyo nayo. nia yangu kutoa majibu kwa hoja kama zako ni kuwasaidia hasa watu wengine wanaopitia hoja zako wasije wakafikiri hakuna majibu mwafaka. bahati nzuri watanzania wengi wanamheshimu Nyerere na kumpenda pia. wanalinganisha na uongozi tulionao hivi sasa, wanapata huzuni sana. kila la heri katika dini yako ya hatred of Nyerere. ila kitu kimoja pia ni wazi. mtu anayefanya makubwa, always ana-generate discussion kubwa sana, kutegemea na aina za akili za hao wanaomchambua. Nyerere ali-dare kufanya makubwa, hakufuata routine. discussion za watu kama Kikwete, Mwinyi, haziwezi kuwa za ndani na kuzama sana. kwanza hawakuandika mawazo yao - at least sijaona mahali wameandika wanayoyaamini.
 
hahahah nimecheka sana; ila ukweli ni kwamba sikutarajia lolote jema zaidi ya kile kilichokuwemo. Kwa vile kuna watu wazima na akili zao walijitokeza kuupigia debe mpango huu wa kina Kikwete nililazimika japo kuupitia kwa mbali tu kuangalia kama ni kweli unastahili sifa hizo. Kweli ningejua mapema nisingeusoma. Lakini kama nisingeusoma nisingekuwa na uwezo wala haki ya kuukosoa.

Na usingeweza kujua mapema ili usiusome, kama usingeusoma kwanza. kujua kitu kabla ya kukisoma inabidi uwe mtabiri - au siyo. kwa hiyo kuusoma ni muhimu. hii iwe pia fundisho kwa wale wanaompinga Nyerere. wamsome kwanza. Bravo.
 
Haya Nyambala, Nilikuuliza Kuwa Wikipedia Wamekosea wapi kuhusu Kambona thesis on 'Ujamaa' ? Kimya! Kwenye Gazeti la ' Raia Mwema ' toleo la 191, tarehe 22 June 2011. Maggid Mjengwa has written the same on Oscar Kambona, Titled : ' Oscar Kambona : Upande wa pili wa Shilingi '.

Let me praphrase him here:

" Tunajua leo, kuwa Kambona alitofautiana na Nyerere juu ya utekelezaji wa Azimio la Arusha. Alikuwa na mtazamo tofauti; hivyo basi, hakukuwa na dhambi ya kufikiri tofauti. "

Do you disagree with this thesis?
 
Kama ni kuwapa heshima hao, kwa nini Nyerere awe peke yake? Je Nyerere aliunda hiyo foundation ya nchi peke yake? Kama nia kutafuta Founding "Father" (s) wa nchi basi Mzee Nyerere hayuko peke yake. Let's be honest.
Nadhani shamu na wengine mnasumbuliwa na udini tu, basi. Huwezi kumfananisha Nyerere na wengine hata kama walishiriki, Ukiangalia Vision na mission ya nyerere na mambo aliyofanya, ndio sababu anabaki kuwa Baba wa Taifa. pia sijaona taifa lolote ulimwenguni lina mababa wa taifa, isipokuwa Baba wa Taifa, the founder of the Nation. Huyu ndiye aliyetoa dira na mwelekeo wa taifa, leo tunazungumza kiswahili, tunazunguka tanzania yote bila kuulizwa wewe mhaya au mchaga (labda zenzi ambako sijafika), kwa sababu ya nyerere, alitaifisha shule za dini ili watu wote wasome. nk nk nk.
 
Du mkuu yaani Millenium development Goals (MDGs) ambazo hata serikali yenyewe imekiri kwamba kuna uwezekano zinaweza zisifikiwe wewe ndiyo unaleta data zake? Halafu hueleweki unapojibiwa swali toa changamoto ni wapi jibu hilo liko tofauti na matarajio au facts ulizonazo lakini kwa utaratibu huu wa kurukia hapa mara kule tutakuwa hatufiki ndugu yangu. Jaribu kuwa specicific. Halafu kwenye hizo MDG's just go thru tis line:

1990
1995
2000
2009
Mortality rate, infant (per 1,000 live births)
99%
95%
86%
68%


Hiyo 68% kulikoni?


Hiyo ni progress naona umemmis point ktk hizi data. Hiyo ni rate ya death ktk watoto wachanga ambayo inapungua. Unaona 2009, kwamba tupo kwenye progress nzuri, tunapunguza vifo kwa watoto wachanga kwa sababu ya uchumi mzuri, hospitali nzuri kwa kinamama. I guess you miss the poit here.
 
Nadhani shamu na wengine mnasumbuliwa na udini tu, basi. Huwezi kumfananisha Nyerere na wengine hata kama walishiriki, Ukiangalia Vision na mission ya nyerere na mambo aliyofanya, ndio sababu anabaki kuwa Baba wa Taifa. pia sijaona taifa lolote ulimwenguni lina mababa wa taifa, isipokuwa Baba wa Taifa, the founder of the Nation. Huyu ndiye aliyetoa dira na mwelekeo wa taifa, leo tunazungumza kiswahili, tunazunguka tanzania yote bila kuulizwa wewe mhaya au mchaga (labda zenzi ambako sijafika), kwa sababu ya nyerere, alitaifisha shule za dini ili watu wote wasome. nk nk nk.

Unapozunguzia dira ya nchi lazima uangalie ukweli, je bado tunatumia ideology na dira za Nyerere za Ujamaa? Jibu, ni hapana. TZ haitumii tena sera au dira za Nyerere kwa sababu ZILIFELIi. TZ sasa hivi inafuata mfumo ambao uliachwa na Mwinyi, Free Market na siyo Nyerere- Ujamaa.

Kiongozi bora ni yule mwenye vision anaejua na kuchagua best choice ya nchi. Nyerere alikuwa na uwezo wa kuchagua Free Market kupitia mifano ya nchi kama Kenya, USA nk. Lakini alishindwa, amechagua WRONG choice Ujamaa bila ya Demokrasia. Moja ya qualification za kiongozi mzuri ni pale anapoweka au kufanya maamuzi mazuri ya nchi. Nyerere alishindwa. Sasa hivi TZ haitumii tena Dira ya Nyerere ya Ujamaa-bila ya Demokrasia. Sasa hivi tuna Free Market na demokrasia ambayo ilianzishwa na kiongozi mwenye dira ya nchi.
 
Unapozunguzia dira ya nchi lazima uangalie ukweli, je bado tunatumia ideology na dira za Nyerere za Ujamaa? Jibu, ni hapana. TZ haitumii tena sera au dira za Nyerere kwa sababu ZILIFELIi. TZ sasa hivi inafuata mfumo ambao uliachwa na Mwinyi, Free Market na siyo Nyerere- Ujamaa.

Kiongozi bora ni yule mwenye vision anaejua na kuchagua best choice ya nchi. Nyerere alikuwa na uwezo wa kuchagua Free Market kupitia mifano ya nchi kama Kenya, USA nk. Lakini alishindwa, amechagua WRONG choice Ujamaa bila ya Demokrasia. Moja ya qualification za kiongozi mzuri ni pale anapoweka au kufanya maamuzi mazuri ya nchi. Nyerere alishindwa. Sasa hivi TZ haitumii tena Dira ya Nyerere ya Ujamaa-bila ya Demokrasia. Sasa hivi tuna Free Market na demokrasia ambayo ilianzishwa na kiongozi mwenye dira ya nchi.

Shamu, sidhani itakuwa sahihi kum-Credit Mzee wa Rukhsa na mfumo wa Soko Huria. Sera hizi zilikuwa ni condition za IMF kwa ajili ya mikopo Mzee Mwinyi aliyoipata akiwa Rais. Pia kusema this was a visionary ideology si kweli. The policy has actually caused more poverty now than pengine enzi za Mwalimu bse of rising un-employment due to privatisation of state companies which employed the majority of Tanzanians.
 
Mwanakijiji,

Kwanza nikushukuru kwa kutupa hii nondo muhimu, mimi nimekuwa nikikusanya kazi za mwalimu kwa takribani miaka 7 sasa. Nimebahatika kwenda kwenye Library mbalimbali duniani na kuokoteza kazi za mwalimu, na naomba niseme kwamba this is one of the best peace that architected by President Nyerere. Na hii itaongeza library yangu ambayo siku moja isiyo na jina Watanzania wajao wataenjoy kusoma history ya mmoja wa anzilishi wa Taifa hili.

Make no mistake inapokuja swala la uchumi natofautiana sehemu nyingi sana na Mwalimu, lakini namkubali kwamba a tleast alikuwa na plan ambayo inaweza kuwa executable despite the cost of the plans. Nimesoma page kadhaa ya huu mpango endelevu wa mwaka 1963, kuna mambo mawili au matatu ambayo yamekamata attention yangu. Kwanza ni government spending on non income generating expenditure ambayo imekuwa ikikua siku hadi siku bila kupungua, mwalimu anakubali kabisa kwamba matumizi katika kujenga sector mbalimbali za uchumi ( capital expenditure) yataleta matumizi endelevu (recurrent expenses). Moja ya haya matumizi sio posho za chai mnazopeana leo, bali ni shuka za hospital, madawa ya hospital, kuziba viraka babarani and etc. Mwalimu anatanabaisha kabisa kwamba with low revenue income maendeleo ni ngumu kufanyika. Leo mnatoa tax holiday za 5 years kwa wachimba madini bila kujua kwamba madini yanakwisha, mnakuja kutubana Watanzania tukileta vigari vyetu bandarini ili kulipia posho za chai.

Pili mwalimu ameonyesha uweleo wako kwenye swala zima la kukopa, 1963 walisha anza kuongelea borrowing cap kitu ambacho nimekuwa niklia nacho kila siku kwamba we can't borrow without a cap. Mwalimu ameonyesha wazi madhara ya kukopa wakati huna credit rating nzuri. Leo hii JK anakopa kama vile hajui kwamba kizazi cha kesho ndio kitabaki na deni la kulipa.

Plan hii ndio iliyozaa Tanesco, na mwalimu aliweka bayana kwamba itafikia at least 11% ya Watanzania kwa kuanzia then itaendelea kukuwa gradual leo hii 2011 Tanesco imefikia only 15% ya Watanzania. Sasa na hili tumlaaumu mwalimu?
Mwalimu alifahamu kabisa kwamba lazima uwe na uzalishaji wa viwanda ili uchumi ukue, amezungumzia kwenye hii peace yake. Alichokosea ni kuamini kwamba serikali ndio solution ya kukuza sector hiyo.
 
Mkuu details zako ni sahihi. Nakumbuka hata Primary School Kwenye somo la Geography Uzalishaji wa chakula baada ya kupata Uhuru ulikuwa unashuka Mwaka hadi Mwaka. Sasa fikiria, kama The Tanzanian population inaongezeka na food production inashuka what are the Results?Another indicator ya kuangalia, pengine ni Tanzanian Exports na Imports throughtout Mwalimu's administration and beyond. Nachoweza kuchangia ni kuwa Mwalimu baada ya kutaifisha Mashamba kutoka kwa the Big Farm producers without first, learning methods mass commercial production was a major contributing factor to the decline in farming.The only genuine legacy is he did not touch the Mineral wealth of this country, which now is being given away for nothing!
Sundi, Nyerere ameondoka zaida ya robo karne iliyopita na Tanzania imekuwa na marais watatu baada yake Je tumejitosheleza kwa chakula?
 
Mimi hata sielewi tunabishana kitu gani hadi watu mnaanza kutoa takwimu...
Kwa mfano nimeyasoma haya hapa ya UNDP wakisema:- The vast majority of Tanzanians spend their meager incomes on the basic necessities of life, such as food, rent, clothing, fuel, and transportation. Very little is spent on entertainment and recreation, which are considered luxuries for those that live in considerable poverty.make matters worse, in the past 10 years the increase in the GNP per capita has been grossly outweighed by mounting inflation , which means that Tanzanians are having an increasingly difficult time purchasing the commodities essential for human existence.

Hapo nilipoweka bold ni kuonyesha kwamba kuna Uongo unatungwa kwa sababu Watanzania wengi wanatumia fedha zao on entertainment kuliko hata chakula kwani kila siku ya mpira wapo radhi kutoka Tsh 500 hadi 1,000, card za vocha, bar na sehemu za starehe bado hazitoshi, Maharusi na misiba yaani fedha nyingi zinakwenda huko kuliko matumizi muhimu.. Na sisi sote tunajua haya nje kabisa ya report kama hizi.

Kifupi Nyerere hakuwa malaika, lakini tujaribu kutumia lugha inayoeleweka kwa sababu Nyerere did not fail.. kwa yale alokusudia kuyajenga. Aliweza kufanikisha yote kama alivyoahidi wananchi wakati wote! na unaweza kuziona investment zake wala usiweze kuzihesabu pamoja na kwamba hatukufanikiwa kiuchumi..

Nasema hivi kwa sababu kuna rafiki zangu ametuma malori yake Tanzania kufanya biashara ya mizigo toka bandarini, lakini kwa bahati mbaya (due to circumstances) amefail kibiashara..
Sababu kubwa ya yeye kufail! uchambuzi ndipo unaingia na mimi nafahamu kwamba ameshindwa kufanikiwa kutokana na ndugu zake kutumia vibaya magari hayo na wamekula hadi mtaji..uswahilini tunasema kaangukia pua - Kesha!

Sasa tunaposema Nyerere amefail ni lazima tukubali kwamba sisi wenyewe ni ktk picha nzima ya kushindwa kwake, Nyertere alifanikiwa kuanzisha miradi yote ya miundombinu na viwanda kisha sisi kwa hulka yetu ya matumizi, tulikula hadi mtaji na nchi ikafikia pale na tunaendeleza tabia ile ile ya Kula hadi mtaji kama mifisi hadi ktk utawala huu wa JK kwani tabia hii haikuanza leo hata kidogo.

Hawa kina Lowassa, Rostam ni Mafisadi endelevu wa mafisadi walioua viwanda wakati wa Nyerere kwa sababu hata tukitazama mashamba ya mkonge, kahawa na miwa yote yalikuwa yakiendeshwa na wananchi isipokuwa ktk usimamizi wake ndio walikuwepo wazungu. Siku tulipokabidhiwa wenyewe miafrika sisi ndio siku tulipojitafutia mchawi kwa hiyo sii swala la Ujamaa wala Ubepari ktk kushindwa kwetu. Leo sisi Mabepari tunashindwa hata kueneza umeme na maji Mji kama Dar acha mbali nchi nzima!.. huu ubepari gani kama sii Ufisadi..

Labda niseme tu kwamba tatizo kubwa la Ujamaa ni kuwakabidhi ndugu zako mali ambayo hawakuitokea jasho, hili ni kosa kubwa sana Kitaifa na ni kosa kubwa sana kwa mtu mmoja mmoja hasa sisi Wadanganyika masharoharo ambao tunategemea kila siku atokee mtu atutoe na akikutoa unamfilisi kwanza yeye halafu unajifilisi mwenyewe kwa kula hadi mtaji..

Kwa hiyo ktk Ujamaa wa Nyerere, alichoshindwa kuelewa ni tabia ya Miafrika inapofikia mali za watu wengine.. Hakutazama mila na desturi za waafrika ktk umiliki wa mali zao kwa nini wazee wetu walikuwa wagumu sana kuchangia mali au kushirikisha ndugu ktk biashara moja ila tuliweza kusaidiana kama Harambee kumwinua mtu..
Lakini hata siku moja hatukuwa na mfumo wa Kijamaa yaani mali zote ziwe za kijiji kisha wananchi wanagawana wavuno. Hivyo ujio wa Ujamaa na Kujitegemea ambao ulishirikisha watu wa makabila tofauti, tabia tofauti na kibaya zaidi kuwekeana trust kwenye mali jambo ambalo lilikuwa geni kabisa ktk mila za Kiafrika ndipo Nyerere alipolikoroga..
Na ndio maana kila siku husisitiza vitu hivi viwili kuangaliwa kwa makini sana unapotaka kuwekeza - WATU na MAZINGIRA..
 
Shamu, sidhani itakuwa sahihi kum-Credit Mzee wa Rukhsa na mfumo wa Soko Huria. Sera hizi zilikuwa ni condition za IMF kwa ajili ya mikopo Mzee Mwinyi aliyoipata akiwa Rais. Pia kusema this was a visionary ideology si kweli. The policy has actually caused more poverty now than pengine enzi za Mwalimu bse of rising un-employment due to privatisation of state companies which employed the majority of Tanzanians.

Mwinyi alikuwa na philosophy ya Rukhsa hata kabla ya hayo masharti ya IMF yeye kupewa. Mwinyi alipanga kabisa akianza kuongoza nchi ataruhusu mfumo wa free market na pia atawarudushia wale wote waliopoteza mali zao kwa kupokonywa na Serikali ktk Azimio la Arusha. Sasa hivi TZ tunatumia dira ya Mwinyi ya kuongoza nchi na siyo ya Nyerere. Nyerere Ujamaa wake ulifeli na ndiyo maana mpaka sasa hivi hakuna Rais yoyote TZ ambaye alitumia/anatumia mfumo wa Nyerere.

Mwinyi alikuwa anaamini kabisa kwamba Free Market( Mzee Rukhsa), Freedom na Democrasia ndiyo solution ya TZ. Sasa hivi tuna TV kadhaa, free press, vyama vingi, haya yote tumepata kutokana na Dira ya Mwinyi. Nyerere aliamini ukiwa Rais inabidi uwacontroll Raia kwa kila hali, Mwinyi kamprove wrong.
 
Mwinyi alikuwa na philosophy ya Rukhsa hata kabla ya hayo masharti ya IMF yeye kupewa. Mwinyi alipanga kabisa akianza kuongoza nchi ataruhusu mfumo wa free market na pia atawarudushia wale wote waliopoteza mali zao kwa kupokonywa na Serikali ktk Azimio la Arusha. Sasa hivi TZ tunatumia dira ya Mwinyi ya kuongoza nchi na siyo ya Nyerere. Nyerere Ujamaa wake ulifeli na ndiyo maana mpaka sasa hivi hakuna Rais yoyote TZ ambaye alitumia/anatumia mfumo wa Nyerere.

Mwinyi alikuwa anaamini kabisa kwamba Free Market( Mzee Rukhsa), Freedom na Democrasia ndiyo solution ya TZ. Sasa hivi tuna TV kadhaa, free press, vyama vingi, haya yote tumepata kutokana na Dira ya Mwinyi. Nyerere aliamini ukiwa Rais inabidi uwacontroll Raia kwa kila hali, Mwinyi kamprove wrong.
Mkuu katika mengi tunakubaliana lakini hili la Mwinyi hapo umeharibu kabisa, yaani huyu ndio uozo kabisa kwa sababu freemarket haiendi hivyo hata kidogo ila ni kurudisha nchi ktk kutawaliwa au niseme kwa lugha safi - Utumwani.
 

Lakini hata siku moja hatukuwa na mfumo wa Kijamaa yaani mali zote ziwe za kijiji kisha wananchi wanagawana wavuno. Hivyo ujio wa Ujamaa na Kujitegemea ambao ulishirikisha watu wa makabila tofauti, tabia tofauti na kibaya zaidi kuwekeana trust kwenye mali jambo ambalo lilikuwa geni kabisa ktk mila za Kiafrika ndipo Nyerere alipolikoroga..
Na ndio maana kila siku husisitiza vitu hivi viwili kuangaliwa kwa makini sana unapotaka kuwekeza - WATU na MAZINGIRA..

Mkuu umesema kitu kimoja kizur sana ambacho Nyerere aliwahi kukiandika; nitapitia makarabrasha yangu nikipate kiliitwa "National Property" au "Mali ya Taifa".. Wakati ule alifanikiwa katika suala la Ardhi akitegemea sana falsafa ya Henry George na ndio msingi wa umiliki wa ardhi nchini. Sasa hivi kunapoendelea hili la "land grabbing" na mataifa makubwa ndio tunajua ni kwa jinsi gani kuachilia mali ya taifa ni kuachilia maisha yetu wenyewe. Ni kweli nadhani alipata shida sana kuleta wazo la kuwa hii "ni mali yetu sote". Leo hii inashangaza mwamko wa kudai mali yetu umekuwa mkubwa zaidi baada ya kuona hatari ya kuwa tunapoteza. Miaka 40 baadaye Watanzania ndio wameanza kutambua kuna vitu vingine ni urithi wao hawawezi kuwaachia wageni. Nyerere alishindwa akiwa hai, lakini amefanikiwa baadaya kufa.
 
Mwinyi alikuwa na philosophy ya Rukhsa hata kabla ya hayo masharti ya IMF yeye kupewa. Mwinyi alipanga kabisa akianza kuongoza nchi ataruhusu mfumo wa free market na pia atawarudushia wale wote waliopoteza mali zao kwa kupokonywa na Serikali ktk Azimio la Arusha. Sasa hivi TZ tunatumia dira ya Mwinyi ya kuongoza nchi na siyo ya Nyerere. Nyerere Ujamaa wake ulifeli na ndiyo maana mpaka sasa hivi hakuna Rais yoyote TZ ambaye alitumia/anatumia mfumo wa Nyerere.

Mwinyi alikuwa anaamini kabisa kwamba Free Market( Mzee Rukhsa), Freedom na Democrasia ndiyo solution ya TZ. Sasa hivi tuna TV kadhaa, free press, vyama vingi, haya yote tumepata kutokana na Dira ya Mwinyi. Nyerere aliamini ukiwa Rais inabidi uwacontroll Raia kwa kila hali, Mwinyi kamprove wrong.

Duh.. free market inahusiana na uzalishaji mali na ushindani wa kibiashara; hauusiani na uingizaji mali zisizozalishwa nchini (sera ya Mwinyi). Kama kweli Mwingi angetaka kuleta free market ya kweli angeweka mazingira ya uzalishaji wa ndani ili ushindane na ule wa nje (free market economy). Leo hii Kikwete anaenda kualika wawekezaji waje zaidi nchini lakini hujamsikia akienda nje kuuza kahawa yetu, pamba yetu, tumbaku yetu (raw) au hata africafe yetu, mvinyo wetu, nguo zetu au hata sigara zetu. Hivi sigara za Tanzania zinauzwa wapi duniani? - hivi mnajua ziliwahi kuuzwa hata nje ya nchi? Natumaini bado zinauzwa. Kikwete anaendeleza sera za "ruksa" siyo za "free market".
 
Mkuu katika mengi tunakubaliana lakini hili la Mwinyi hapo umeharibu kabisa, yaani huyu ndio uozo kabisa kwa sababu freemarket haiendi hivyo hata kidogo ila ni kurudisha nchi ktk kutawaliwa au niseme kwa lugha safi - Utumwani.

Sipo ktk utekelezaji wa serikali ya TZ ktk free market. Nazungumzia system yenyewe ya Free Market na ile dira yake ya rukhsa. Vitu kama dira ya demokrasia TZ, soko huria, free press. Kama Mwinyi angeendelea kufuata muongozo wa Nyerere wa Ujamaa, tusingekuwa hapa tulipo in free press, vyamaa vingi. Nazungumzia dira ya nchi. Mwinyi kachagua Free Market badala ya Ujamaa.
 
Back
Top Bottom