Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza; Mvuvi Nigeria atafuna samaki mwenye thamani ya mabilioni ya shilingi bila kujua

Nimeileta hapa kama ilivyo unaweza kuthibitisha vinginevyo ..ndio maana ya kuwa GT

Upo sahihi mkuu sema kwenye "Pacific tu" ndio pameleta contradiction kwa watu
20210325_003820.jpg
 
MV.jpg

Mtu mmoja nchini Nigeria amevua samaki aitwae Blue Marlin Fish mwenye thamani ya dola za kimarekani milioni 2.6 ($2.6 million) sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 6 za Kitanzania lakini bila kujua amemla yeye na wanakijiji wenzake.
157195702_3537744233020534_7335331348425055907_n.jpg

Taarifa hiyo imesambaa zaidi kwenye mitandao ya kijamii baada ya jamaa huyo kushare picha ambazo zilionesha akiwa ametoka baharini kumvua samaki huyo lakini kwa sababu ya kutojua thamani yake wakaamua kumfanya kitoweo.
157145217_3537743986353892_5311348705438944531_o.jpg


Blue Marlin Fish ni moja ya aina kubwa za samaki duniani ambao wanapatikana katika bahari ya kitropiki kama Atlantic na Pacific tu, na kwa bara la Afrika wanapatikana zaidi kwenye nchi za Africa Magharibi.

Aidha upatikanaji wao ni wa msimu hasa katika maeneo yenye joto na inasemekana ndani ya miili yao kuna aina ya madini ya Ruby na metali ya Zebaki ambayo matumizi yake ni kwenye mitambo na madawa.
Visit-Philippines-Blue-780x405.jpg


Source:
A local Nigerian Fisherman captured a Blue Marlin Fish reportedly worth $2.6 million but ate it with his friends.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom