Jambo Usilolijua: Kambona -"Nyerere... Baba wa Taifa"; Hotuba yake tuliyoisahau

Mumpambe mtakavyoweza, kwangu mimi Oscar Kambona ni msaliti kwa Taifa hili, simtofautishi na EL, kiongozi mwenyeuchu na tamaa ya mali na utajiri wa haraka haraka.
Mali zake alijilimbikizia wapi?Ama ni yale yale ya sanduku la minoti mnalodai alikimbia nalo nje ya nchi?Kambona na EL wapi na wapi.
 
After reading the speech, I came to conclude that Mr Kambona was very open, welcoming, humble and was even willing and ready to accept criticisms, something that Nyerere didn't like or was not comfortable with. Nyerere either didn't like or was rather sensitive when it comes to the idea of being criticised as a leader. Perhaps Nyerere was uneasy to see Kambona as an up and coming brilliant technocrat who was posing a threat of stealing the show within the party/country.

We don't think that was the case. Kambona failed to realize the timing on how to pass on his ideas, the point sometime is not being right or wrong but to be sure that you are doing something worthwhile at the right time and right place. Let us suggest that Kambona was right in terms of ideas, was it appropriate for him to do this within public domain. I conclude that both mheshimiwa Kambona and Mwalim Nyerere have done terrible mistakes in dealing with the matter, that's why it went out of control.
 
Wakati ule maoni ya Kambona au machapisho yake yasingeweza kupokewa Tanzania, na wala uhuru wa habari haukuwa mkubwa kiasi unachokiona sasa hivi. Nimawazo ya watu wachache/wasomi kama akina Abdulahaman Babu yaliweza kupenya kwenye magazeti kama "Africa" na baadae "Africa Now" na "Africa Events" lakini magazeti hayo yalikuwa ya nawafikia watu(wasomi)wachache sana. Kuna kitabu kiliandikwa na Abdulahamani Babu kinaitwa " African Socialism or Socialist Africa" ilikuwa ni vigumu sana kukipata japokuwa hakikupigwa marufuku. Kwahiyo uhuru wa mawazo tofauti haukuwa mkubwa sana enzi hizo. Wengine tunaishukuru sana mitandao ya kijamii kama hii na kukuwa kwa tekinolojia ya habari ambayo imetuletea uhuru mkubwa wakutoa na kupokea habari na mawazo hatakama kuna wanaotumia vibaya fursa hii. Zamani dola liliweza kudhibiti habari kisawasawa!
Maulaga,
Sikusema Kambona angeandika kwenye magazeti ya Tanzania, ingawa najua wakati alipoondoka alikuwa anamiliki gazeti la Mwananchi likiendeshwa na akina Gray Mattaka. Kambona angeweza kuandika kwenye magazeti ya Uingereza, magazeti ya Kenya kama vile Daily Nation na The East African Standard. Au angeandika tu kitabu. That is all I am saying.
 
Alisema....."Msingoje miaka mitano kama sifai - Msingoje. Mkipitisha azimio sasa hivi nitajiuzulu." Yaani, hii kitu ni kweli siku zote, zaidi zaidi sasa kwa kuwa tuna mijizi hii migamba.
 
Oscar Kambona on WikiPedia - http://en.wikipedia.org/wiki/Oscar_Kambona

Kambona and Nyerere remained political enemies until the end of their lives. When Kambona died in July 1997, Nyerere did not even attend his funeral. But his son Andrew Nyerere did, as he stated in his correspondence with Godfrey Mwakikagile, quoted in Mwakikagile's book, Nyerere and Africa: End of an Era. See Andrew Nyerere's letter in chapter 13 of the book, p. 365.
 
Kambona hakuwa mtu mbaya, ndiyo maana alikuwa rafiki wa karibu sana wa Nyerere. Kama alivyodokeza MKJJ hapo juu ukichanganya kipande kingine cha historia yaani kesi ya uhaini, kuna uwezekano mkubwa sana kuwa mgogoro wao ulikuwa kwenye madaraka ambapo wote walikuwa articulate na mmoja wao akataka kupokonya mwingine
 
Hivi kwa Mwalimu Nyerere kuitwa baba wa taifa kunaisaidia nini Tanzania?
 
Big up Mzee MwanaK!!
Umenifungua akili sana kuhusu Kambona. Tulikuwa tunmasoma, tunaambiwa na kumwimba kwamba eti ni msaliti na mhaini. Nimesoma maandiko yake na sasa naamini wakati wa Kambarage ilikuwa ni too much propaganda na alikuwa anajifagilia. On top of that sote tunajua Julius alikuwa haambiliki wala kushaurika. Ningependa kumjua wasifu wake huyo Kambona na kusoma maandiko na kazi zake nyinginezo. Naamini status yake inatakiwa iwe elevated to one of the greatest statesman of this nation. Long live Oscar Kambona

........Na yule Sykes........aliyemuandikia hotuba Nyerere na kuisoma UN.......naye tumuweke kwenye kundi lipi.................
 
........Na yule Sykes........aliyemuandikia hotuba Nyerere na kuisoma UN.......naye tumuweke kwenye kundi lipi.................
Abdulwahid Kleist Sykes hakumwandikia Nyerere hotuba aliyoitoa UN. Mohammed Said hapo kasema uwongo. Huenda ikawa Nyerere alitumia outline
ya mawazo ya Abdulwahid lakini Nyerere hakuwa mtu wa kusoma hotuba kama kasuku. Waulize wote waliofanya naye kazi watakuambia. And by the way, I happened to know Mzee Sykes in the days of my youth.
 
Hivi kwa Mwalimu Nyerere kuitwa baba wa taifa kunaisaidia nini Tanzania?

hehehe...umeona hilo ehhe? As if Tanganyika isingekuwa huru bila yeye! Give me a break...
Freedom was on the pipe no matter what...
Sijaona convincing evidence yeyote kuwa Nyerere single handed brought independence in Tz.
That said, it still good to appreciate him and give him his due rights and respects.
 
Inaelekea hii Kambona foundation inaweza kuwa na information kadhaa. Hopefully wanaweza kuweka vitu kadhaa wazi...
Mwingine wa kuangalia kwa karibu ni Sokoine. Some say his death was not a coincidence. Na since JKN was the president then, sidhani kama such organization would have been done w/out even his knowledge.
 
Mumpambe mtakavyoweza, kwangu mimi Oscar Kambona ni msaliti kwa Taifa hili, simtofautishi na EL, kiongozi mwenyeuchu na tamaa ya mali na utajiri wa haraka haraka.

hehehe! Mali na utajiri gani huo tena alitamani? Kusaliti taifa ni nini hasa? EL kasaliti taifa kivipi? Kama yeye amesaliti na chama chake kinachombeba kimesaliti pia? Na rafiki yake anayemuogopa?
 
Mumpambe mtakavyoweza, kwangu mimi Oscar Kambona ni msaliti kwa Taifa hili, simtofautishi na EL, kiongozi mwenyeuchu na tamaa ya mali na utajiri wa haraka haraka.
Na mimi hili ndilo lililonikwaza kwa Kambona wetu. Nilisoma pale Morogoro nikaonyeshwa jumba lake kubwa tu kwa viwango vya wakati huo. Hapa Dar nako kuna nyumba kadhaa zinahusishwa naye. Unajiuliza utajiri ule kwa umri na kazi za kuajiriwa alizofanya havikuendana kabisa. Kwa kuwa alioa Uchagani pengine hilo laweza kuwa jibu? Lakini mbona hata JS Warioba alioa huko na hakuwa tajiri? Hata Mkapa katajirikia Ikulu. Watawala wetu wengi walipenda kuoa Uchagani!
 
He is the symbol of our nationhood. He is the symbol of Tanzania in and out of Tanzania.
Mkuu, hivi leo ukipewa mtihani kuchora symbol ya Tanzania utamchora Nyerere au Karume?

Kweli mapenzi matamu, maana nasikia hata wananchi wa South Africa walitaka kuweka kiapo kiwe kwa jina la Mandela.
tanzania.jpg
3981018-flag-of-tanzania-national-country-symbol-illustration.jpg
giraffes.jpg
 
hehehe...umeona hilo ehhe? As if Tanganyika isingekuwa huru bila yeye! Give me a break...
Freedom was on the pipe no matter what...
Sijaona convincing evidence yeyote kuwa Nyerere single handed brought independence in Tz.
That said, it still good to appreciate him and give him his due rights and respects.
Kibatani cha thanks sikioni mkuu, ningekibofya.
 
Mkuu, hivi leo ukipewa mtihani kuchora symbol ya Tanzania utamchora Nyerere au Karume?

Kweli mapenzi matamu, maana nasikia hata wananchi wa South Africa walitaka kuweka kiapo kiwe kwa jina la Mandela.
tanzania.jpg
3981018-flag-of-tanzania-national-country-symbol-illustration.jpg
giraffes.jpg
Hata hizi alama kaziasisi yeye. Mwalimu ni kila kitu kwa uanzishwaji na uwepo wa TANZANIA.
 
Basi hata ushahidi hamna mkuu.

Ukitafuta, ndani ya JF, kuna topic inazungumzia shindano la jina Tanzania.
Kasaini yeye kulikubali. Utaitaja wapi Tanzania umsahau Mwalimu? Historia haifutiki wala kuandikwa upya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom