Jambo Tz: Mkuchika ajikanyaga kuhusu ubora shule za kata. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jambo Tz: Mkuchika ajikanyaga kuhusu ubora shule za kata.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jun 24, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TBC 1. Nimemshuhudia waziri wa Tamisemi Mh Mkuchika akisifia shule za kata kwamba zinatoa elimu bora kuliko shule nyingine kwani ktk matokeo ya kidato cha 4 mwaka jana zimeongoza kutoa wanafunz kwenda kidato cha 5. Mh Vincent Nyerere akamtupia swali Je wewe unasomesha watoto au wajukuu wako huko?, hapo ndo akaanza kujikanyaga mara ooh mi sisomesh kwa kua umri wangu nimeshamaliza kusomesha, akapigwa swali Je wakubwa wenzako umewashauri hlo, ooh kila mtu ana uhuru wa kuchagua wapi pa kumpeleka mtoto penye elimu bora. Nikagundua kuwa kumbe hz shule wao wanakiri mioyoni mwao kuwa hazina ubora ndo mana hawapeleki watoto wao ila wanazisifia mdomoni tu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuchika yupi huyo unamwongelea?
  Mzee ana sifa ya kujikweza sana huyu, na kuongea mambo pasi na uchunguzi, ndiyo maana kipindi fulani alisusiwa na wanahabari kwa kuropoka mambo asiyokuwa na uhakika nayo!
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  hizo shule is a FAILED strategy ambayo inahitaji immediate attention! Kama walau una vi-jusent vyako usipeleke mtoto kule manake hamna kitu si walimu, mazingira etc. Nchi ya ajabu hii sana wameshindwa hata kwenye basic eduation!!
   
 4. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kitu nilichokisoma kwake leo ni kua, maneno yao hayafanani na matendo hata!
   
 5. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli unachoongelea. Tatz linakuja kwa mtu asiyekua na uwezo, inakuaje?. Kweli nchi hii hujengwa na wenye moyo na huliwa na wenye meno
   
 6. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ni mdau wa elimu.Sahauni kuhusu viongozi wanaozipigia chapuo shule za kata,hawana watoto wala ndugu huko!ndo maana hawawezi kujibu swali kama hilo.
   
 7. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nakuunga mkono mkuu 100%
   
Loading...