Jambo muhimu la chadema kufanya sasa

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Chadema imekuwa ikifanya mikutano mbalimbali ya kuelimisha watu kuelekea uchaguzi wa 2015, kosa ninaloliona kwenye mikutano hiyo CHADEMA inashindwa kutoa elimu ya umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura mara muda utakapo wadia. Ni muhimu kwa kuwa watu wengi wanapenda kuipigia CHADEMA lakini kutokana na maisha kubana hujikuta wamesahau au kupuuzia kwenda kupiga kura. Ni wakati muafaka wa kuwakumbusha watu kuwa pamoja na kupigika lakini salama yao ni kuwa na kitambulisho na kuhakikisha wanapiga kura. Magamba hawataki watanzania wajue umuhimu huo na huu ni mtego wao.Nawapenzi wote wa CDM kwa pamoja kuhakikisha tunaelisha umma kila mtu kwa nafasi yake bila kukata tamaa ukiwa popote fanya kwa nafasi yako.

TANZANIA YA NEEMA INAWEZEKANA BILA MAGAMBA.
 
Back
Top Bottom