Jambo jema: Hayati Magufuli alikabidhiwa CCM ikiwa na mpasuko mkubwa lakini ameiacha ikiwa moja na Imara zaidi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Mwaka 2015 CCM ilipasuka vipande vipande baada ya mzee Lowassa kuhamia Chadema na mzee Membe kununa.

Hayati Magufuli alipokabidhiwa chama alifanikisha kuwarejesha kundini wanachama wote waliokimbia CCM akiwemo mzee Lowassa mwenyewe na kundi lake lowe wakiwemo Ole milya, Masha, Dr Mollel, Mgeja nk nk

Lakini pia Magufuli aliongeza mtaji kwa CCM kwa kuwapokea wanachama lukuki wa Chadema na ACT wazalendo waliounga mkono juhudi akiwemo Katibu mkuu wa Chadema Dr Mashinji na mwenyekiti wa Bavicha Patrobas Katambi.

Nawatakia Sabato yenye baraka!
 
Back
Top Bottom