Elections 2010 Jambo iko?

vicenttemu

Member
Nov 16, 2010
43
0
Hi there, can we discuss the issue of ethnic groups in higher learning institutions and several organizations. Cku hizi kila mahali kuna chama cha kabila fulani. Hii c kwamba tunajigawa kimakabila na kwa maana hii ukabila umebisha hodi Ty? Nawakilisha wadau tulijadili hili jambo
 
Mh!hii mbona ilishaanza siku nyingi sana,kwa bahati mbaya hakuna sheria yoyote ya nchi hii inayomkataza au inakataza kabila lolote kuwa na chama!!
 
hii mimi hainitishi sana hizi intermarriage zinaneutralise hili jambo..... labda tuanze kuwaconvice ndugu zetu wahindi na waarabu tuweze kuwaoa zaidi na kupoteza kabisa haya matabaka
 
hii mimi hainitishi sana hizi intermarriage zinaneutralise hili jambo..... labda tuanze kuwaconvice ndugu zetu wahindi na waarabu tuweze kuwaoa zaidi na kupoteza kabisa haya matabaka
Umenena kaka. Mimi niruhusiwe kuoa mtoto wa Rost tamu au Abood
 
Back
Top Bottom