Jambo gani uliifanya kwa maumivu mwisho wa siku likaleta matokeo yaliyobadili maisha yako?

Anhaa kufungua ni lazima uwe na email ya gmail na uingie katika mtandao wa youtube utafata hatua,lakini pia TCRA wanataka uwalipe laki 5 ya leseni kila mwaka.
Hii inchi mamlaka zake zina mambo ya kifala, sasa laki tano ya nini, hiyo YouTube walitengeneza wao?!
 
Back
Top Bottom