Jambo ambalo Rais Magufuli hatokuja kusahaulika ni uwezo wake wa kufanya mambo yasiyowezekana

"Changing the IMPOSSIBILITIES LIABLE THINGS INTO POSSIBILITIES STRATEGIC THINGS.."

Mfano
Ilitamkwa publicity kuwa "pesa siyo ya umma ina wenyewe , then Simba akakazia "wenye nazo" wamekondea mahabusu mpaka "KAWAHURUMIA." ...

Conditions like these DEFINE WHAT A REALY MAN , HAS TO BE ...
Hii nyimbo ungempasia vuvuzela mmoja maarufu humu angekujazia kurasa kibao!
 
Back
Top Bottom