Jambazi sugu lakamatwa Iringa

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,122
534
Mali iliyo kutwa ndani ya nyumba ya jambazi hilo,inasemekana alikuwa anawapiga watu nondo za kichwa kabla ya kupora mali
Na alikuwa ana vunja nyumba za watu
Source,franciagodwin.blogspot



DSCF7508.JPG
 
Hongera jeshi la polisi.
Wiki iliyopiata iringa kuna jamaa yangu alitekwa na kuibiwa tax yake mpyi kabisa kisha kutelekezwa kwenye msitu wa saohill.
 
kama mleta mada anamwita huyo ni jambaz. Wanaokwapua mabilioni ya EPA au dowans tuwaiteje? V2 vyote apo jua ata milioni havifiki. Huyo ni kibaka tu. Polisi wakamateni hao wengine.tutawasifu!nyumba yenyewe yadhihirisha njaa alonayo.no body was born a criminal.! Repeat NO BODY!
 
Mali iliyo kutwa ndani ya nyumba ya jambazi hilo,inasemekana alikuwa anawapiga watu nondo za kichwa kabla ya kupora mali
Na alikuwa ana vunja nyumba za watu
DSCF7508.JPG

nimefika eneo la tukio ni kweli hyo jamii ni jambaz kabsaaa mali ilyo kamatwa kwake ni vi2 mbalimbal hasa vya eletronic kama recivers.satelite dishes za kutosha pas za umeme, radio, tv, na vingne vingi...lakin jamaa mwenyewe ametoroka in shor wiz ulikuwa unafanywa sehem mbalmbal na kutunzwa kwa huyo jamaa...hyo jambaz alikuwa ni muuza MAZIWA ndugu 2we makin na hawa wa2 ni hatar kumbe jamaa anapita kwenye majumba ya wa2 na baiskel kama muuza maziwa kumbe imformer.. Kaz ipo n hayo kwa leo
 
Tushike lipi sasa vitu vya wizi vimekamatwa?ama jambazi pamoja na hivyo vitu maana kuna mchangiaji kasema limetoroka,
ama heading ndo kizunguzungu?
 
Huyo ni kibaka. Majambaz hayapigi nondo, yanatumia bunduki.
 
Khaaa ?! Acha mambo ya kutuchanganya mara jambaz sugu kkamatwa, mara kakimbia. Alichoiba vich*p* vya watoto nyambaff
 
Mwishowe wataleta na hii 'jambazi sugu lapora simu kwenye daladala'
tutofautishe vibaka na jambaz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom