Jambazi Sugu Ladakwa DAR!!!

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
301
OCTAVIAN GALAKWILA
Daily News; Friday,August 22, 2008

Police in Dar es Salaam have arrested a suspected hardcore criminal, one Hemed Said alias Muddy or Tall, who had been on the run. Dar es Salaam Special Police Zone Commander, Mr Suleiman Kova said yesterday that the suspect was arrested at Mabibo Relini in the city after being involved in an accident following a police chase.

Mr Said was arrested while in critical condition after the vehicle he was driving collided with a police vehicle, according to Mr Kova. "The suspect was driving a dark blue Toyota Mark II with registration numbers T 792 AGK and he was headed to a robbery mission, when he was stopped by police officers", he said.

The suspect, however, refused to stop and started speeding off as police gave chase in an incident reminiscent of an action flick. He was not to go too far after his vehicle hit a police vehicle that was part of the chase. When police inspected his car, he was found in possession of four AK 47 guns with 15 rounds of ammunition, among other items.

Mr Said was also found with a Browning pistol with 13 rounds of ammunition, a Star (Markarov) gun with 6 rounds of ammunition, a revolver with 7 rounds of ammunition and 9 other rounds of ammunition. Mr Kova said that he was also found with two fake antes -T 304 ABM-- which had been used in several other robbery incidents, a hammer, an axe, a screw driver, a driver's licence bearing his name and other items.

The suspect is admitted to the Amana Hospital as police continue to investigate his accomplices. Meanwhile, police are holding Mr Francis Masunzu Msayo (50), a resident of Kawe, who has been making homemade guns and filling used ammunition as well as assisting armed bandits. After an inspection, the suspect was found to be in possession of 4 shot guns, a homemade machine for making guns and refilling ammunition, 2 bombs and 4 detonators, 14 gun butts and, several used and unused rounds of ammunition as well as guns.

Jamani hii inatisha sana, hivi mtu mmoja ana silaha nzito kama hizi AK-47 nne!!! nawapongeza Kova na kikosi chake kwa kunusuru tukio kabla halijaleta maafa, kwa nini polisi wetu hawaanzishi regular 'stop and search'? Hii itapunguza kwa kiwango kikubwa matukio ya ujambazi.
 
Hizo AK-47 wanazitoa wapi jamani, naomba mnisaidie ktk hili.

Tanzania inapakana na nchi nane na baadhi zilikuwa na zimekuwa katika vita, chagua moja kati ya hizo. Vile vile pia majirani zetu na wao pia wanapakana na nchi zilizoko kwenye machafuko. Mipaka yetu ni mikubwa na mingi na wizara ya mambo ya ndani na ile ya ulinzi haina uwezo wa kutosha wa kuiangalia,kuilinda na kuihudumia ipasavyo. Vile vile pia kuna suala la maslahi duni na/au tamaa miongoni mwa baadhi ya watunza dola wetu.
 
Du Ak-47 siyo mchezo. Nawapongeza jeshi la polisi na huyo msamaria mwema aliechoma utambi. Ila tu ni kwamba kamanda Kova anafanya kazi nzuri sana yenye mafanikio tena kwa muda mfupi. Unajua Tiba hapa mwishoni tu alijitahidi kujituma japo kwa unafiki, lakini jamaa alitesa sana wakati wa Mahita, lao lilikuwa ni moja tu. Nakumbuka pale mtaani kwangu kuna kota moja inauza mafuta ya wizi na kila mara magari ya Defender na mengineyo ya polisi yanakuja kuchukua mgao pale, basi hata Tiba kabla hajawa comm wa kanda maalumu alikuwa anafuata mgao pale. Alikuwa ananiuzi mno. Sasa je grand hongo za majambazi ataaacha kuzipokea? Sasa hapo utendaji si FFFFFF tu. Nina imani na KOVA wajameni.
 
Hilo ni jeshi la mtu mmoja si ujambazi tena duuu...jama a hatari sana sasa huyo anaetengeneza hadi mabumu anatishaa..ila mimi nalaumu mfumo wetu...wanajeshi wanafunzishwa mambo mengi sana na wanastaafu hawana kitu wanarudi uraiani.....hawana cha kufanya unategemea nini?...huyo kwa namna moja au nyingine alishawahi kuwa mwanajeshi....kama si mwanajeshi.....basi jasusi.....
 
Huyo jambazi ni hatari sana na kwa sababu hiyo kuna haja ya kubadili ama kuimarisha ethics za mapolisi hasa za kutunza siri ili mambo haya yaweze kupunguzwa. Kipindi hiki nadhani kumekuwa na mafanikio katika ushirikiano kati ya wananchi na Polisi na ndiyo maana wanafanikiwa vinginevyo mapolisi wenyewe wangekuwa ni target ya majambazi. Hongera sana Afande Kova
 
The suspect is admitted to the Amana Hospital as police continue to investigate his accomplices.........

Hivi kwa nini jambazi hatari kama huyu akatibiwe hospitali kama Amana? Kweli hakuna Hospital zenye ulinzi mkali kama za kijeshi? huu ni uzembe ama jeshi la polisi hawajafikiria kwa makini hapa na kulipa uzito unaostahili hili suala!! Sifikirii kama ulinzi hapo Amana ni wa kutosha, ukizingatia huyu mshenzi atakuwa na washirika wake ambao pia wako hatarini kutokana na kukamatwa kwa mwenzao, hawa watu wanaweza wakafanya mbinu kuingia hapo wodini ili aidha wamuuwe huyu mwenzao ama wamtoroshe!! Kwa vile hawa ni majambazi hatari na wana silaha kali, jee walinzi wa hapo Amana wamejiandaa kivipi? Pia wanaweza kushirikiana na askari na wauguzi wenye tamaa, hatuwezi kujuwa mtandao wao una nguvu gani na ni wakina nani! wengine ndio haohao wanapolisi!!. Kova amefanya kazi nzuri ila kuna wazembe wachache wenye tamaa wanaweza kuiharibu kazi yake nzuri aliyofanya!!! Nashauri huyu muhalifu ahamishwe mara moja apelekwe hospitali za makambi ya jeshi!!
 
Jamani hii inatisha sana, hivi mtu mmoja ana silaha nzito kama hizi AK-47 nne!!! nawapongeza Kova na kikosi chake kwa kunusuru tukio kabla halijaleta maafa, kwa nini polisi wetu hawaanzishi regular 'stop and search'? Hii itapunguza kwa kiwango kikubwa matukio ya ujambazi.

wakianzisha hii wataenda na maji wengi ndugu!!!!mtu snskuchukukia atamfwata hata house girl na kumpa kimondo gari iko on kakuingiza ufiki hata unbungo unakwenda hiyo aitakuwa fair
 
Hilo ni jeshi la mtu mmoja si ujambazi tena duuu...jama a hatari sana sasa huyo anaetengeneza hadi mabumu anatishaa..ila mimi nalaumu mfumo wetu...wanajeshi wanafunzishwa mambo mengi sana na wanastaafu hawana kitu wanarudi uraiani.....hawana cha kufanya unategemea nini?...huyo kwa namna moja au nyingine alishawahi kuwa mwanajeshi....kama si mwanajeshi.....basi jasusi.....


MNAKUMBUKA ALIEKAMTWA N MTAMBO WA MADAWA YA KULEVYA NA ANKULA KUKU SASA

NINI HUYO HATA SELO SIJUI ATAISHIA AMANA N BACK HM TRUST M
 
Jamani hii inatisha sana, hivi mtu mmoja ana silaha nzito kama hizi AK-47 nne!!! nawapongeza Kova na kikosi chake kwa kunusuru tukio kabla halijaleta maafa, kwa nini polisi wetu hawaanzishi regular 'stop and search'? Hii itapunguza kwa kiwango kikubwa matukio ya ujambazi.

wakianzisha hii wataenda na maji wengi ndugu!!!!mtu snskuchukukia atamfwata hata house girl na kumpa kimondo gari iko on kakuingiza ufiki hata unbungo unakwenda hiyo aitakuwa fair


Ni kweli kwa stop and search watu watatafuta mwanya kuharibiana, lakini kinga ni bora kuliko tiba, na tuangalie faida zake na hasara zake, kama faida zita-outweight hasara basi si vibaya tukifanya hivyo japo zitakuweko kasoro ndogondogo, Hii system ya S&S imesaidia sana kupunguza uhalifu katika miji ya New York na London. Nchi yetu imekuwa ina utamaduni wa visingiziosingizio, hatutaki cctv, hatutaki stopnsearch, hatutaki kuhojiwa na polisi, sasa ujambazi tutapigana nao vipi? jambazi ni mtu na hana alama sasa tutamtambua vipi? Hao Polisi wetu wapewe semina juu ya utendaji wa hili zoezi toka kwa wataalam wa NYPD na S.Yard, hii itasaidia kwao kujua ni watu gani wawa-target, kuna tekniki zake kwa mfano kumsimamisha Church Sister au pensioner na ka-nissan march kake ni waste of time.
Kinachotakiwa ni kujenga tabia kama ya wenzetu wa nchi ziloendelea NEVER TRUST ANYONE!! hata mkeo/mumeo/mwanao. Kabla ya kuwasha gari lako hakikisha lipo kama ulivoliacha, angalia bonnet zote mbele na nyuma, ndani ya gari lako, chini ya mivungu ya kiti ndio uliendeshe, ni tendo la dakika mbili tu na ukizowea inakuwa desturi,mbona kufunga mikanda tumezoea jamani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom