Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,239
- 1,884
Jamani wana JF naomba msaada wenu hapa.
Mwanzoni mwa miaka ya 90's wakati nipo primary niliwahi kumsikia jambazi sugu aliyewahi kuitikisa ulaya na amerika, namkumbuka kwa jina 1 tu la CARLOS.
Niliwahi sikia kwamba huyu bwana alijaribu hata kuingia chumba cha malkia wa uingereza kupitia tunel ya choo na kufanya mapenzi na qeen, et al.
Je, kuna mtu yeyote hapa anaweza kutoa full detail ya huyu jamaa?
Alizaliwa wapi? Maisha yake?
Matukio aliyoyafanya, nk?
tufahamishane wakuu.