Jamani zamani ilikuwa Raha sana ! Embu cheki hapa !

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Kulikuwa hakuna Ukimwi , hakuna Kisukari hata Pressure ilikuwa kidogo sana !

Pesa ilikuwa inatosha matumizi, mfumuko wa bei hakuna. Jamani zamani ilikuwa raha sana ! Au nyinyi mnasemaje ?
 
Attachments

  • zamani 1.jpg
    zamani 1.jpg
    77.7 KB · Views: 242
gonorrhea na syphilis yalikuwepo...wakati ule mwamko kwenda kupata tiba ulikuwa mdogo...so pima madhara yake...waliokuwa wanajidai mastriker chamoto walikuwa wanakiona...!!!!!!!
 
Dah!ghafla nakuta huyo aliye miliki wa2 kwa pa1 ndio dingi yangu nalog off mzigo nalala aisee zamani noumer jombaa.
 
Watanzania tunapenda kujichomeka hata pale tusipostahili. Jamani hizi picha sio za Tzania!!! Kama huamini basi GOOGLE mtu aitwaye Malick Sidibe au Abderramane Sakaly utajionea. Negative za picha hizi zimo kwenye BBC Documentay ya African Photographers, na nyingi ni za miaka ya 60's. Kama una muda ingia youtube ujionee.

Last edited by a moderator:
Mbona sioni kama wamevaa chupi za vip zilizokuwa maarufu kipindi hicho?
 
umenikumbusha mbali sana hzo chupi za vip zilikuwa balaa ukivaa unatakiwa kuwa makini na uvuaji wa shirt mbele ya watu utaumbuka unaikuta ipo koifuani
 
Back
Top Bottom