jamani yamenikuta........!!!!!!

Amney

Member
Feb 23, 2012
54
4
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms ya mwanaume mwingine ambae anamfuatilia kwenye cmu ya rafiki yangu.tatizo n kwmb huyo shemeji yangu anazidi kumuuliza yule n nani yake,kila akimuelewesha shemeji yangu hataki kuelewa anamwambia n bwana ake sasa shoga angu ata aelewi afanyeje.
 
mhm....yaani mwambie aelewe kitu kimoja hapa duniani. wanaume sie tunapenda kucheat ila demu akicheat basi no forgiveness. anachotakiwa kufanya ni kuachana na huyo jamaa maana kila leo jamaa atakuwa hamuamini. shoga yako ataishia kuwa mtumwa kwenye hiyo relationship
 
Mwanaume anaye enda kukagua simu ya mwanamke mara nyingi sana ana matatizo ya kiakili, mana hajiamini na hatakuja amini anaye mpenda.

Siku njema mpe pole shoga yako.
 
Mwanaume anaye enda kukagua simu ya mwanamke mara nyingi sana ana matatizo ya kiakili, mana hajiamini na hatakuja amini anaye mpenda.

Siku njema mpe pole shoga yako.

wewe kijana unatania...lazima kucheki simu mwana maana hawa wadada siku hizi kugegedwa na dudu moja imepitwa na wakati...minimum dudu 2 mndo wanaridhika....sasa bor a ujuage mapema kuwa hapa tupo wengi
 
Naomba mnisaidie, nina shoga angu ameniomba nmshauri nami cnabudi kulileta kwenu.Rafiki yangu ana boyfriend wake kwa muda mrefu sana,bt kwa sasa hawaelewan kwa kua huyo shemeji yangu amekuta sms ya mwanaume mwingine ambae anamfuatilia kwenye cmu ya rafiki yangu.tatizo n kwmb huyo shemeji yangu anazidi kumuuliza yule n nani yake,kila akimuelewesha shemeji yangu hataki kuelewa anamwambia n bwana ake sasa shoga angu ata aelewi afanyeje.

Sasa kama mtu unamuelewesha na hataki kuelewa afanyaje? ampotezee siku akielewa atarudi mwenyewe!!! Asije kuwa alikuwa anatafuta visingizio tu afanye anachotaka kufanya.
By the way, huyo rafiki yako kwa nini hakuwa anazifuta SMS za huyo mwingine wakati anajua wazi kuwa ana mpenzi ambaye anamchunguza?
 
yani uzuri wa jf huwa wanachama wake hawakutwi na kitu chochote, kila atakeye leta mada, nirafk yangu, kaka yangu, jirani yangu, dada, mdogo. Tumshukuru mungu kwakuwa tupo perfect.

Umeona eeeh ? Tena kwa swala hili wakina dada/ wanawake ndo wanaongoza.
 
wewe kijana unatania...lazima kucheki simu mwana maana hawa wadada siku hizi kugegedwa na dudu moja imepitwa na wakati...minimum dudu 2 mndo wanaridhika....sasa bor a ujuage mapema kuwa hapa tupo wengi
Si ndo nakuwambia wanaume tunapishana, wengine tunapo penda tunajua wapi pakupenda:A S thumbs_up:

Mana unatazama background ya yule bint, mimi siwezi kupenda tu kama wanavyo penda wengine, wengine wanakutana na mwanamke tu njiani, hajui background yake ananza kumpenda.

Yani ndugu napo penda huwa sina mashaka nako kabisa, ndo mana sijisumbu kuchokonoa simu yake au kukaa na mchunguza chunguza mana niko sure sehemu nili chukua ni bahati kutoka kwa Mungu, na ukisha pata bahati kama hio, usisumbuke kuanza mchunguza mana hata Mungu hapendi kuchunguzana chunguzana.

Anaye chunguza mke wake ni mwendawazimu tu, mana kaowa sehemu hajamini....siku njema :A S thumbs_up:
 
Safari ni ndefu sana mpaka tukue,hapa simaanishi umri.

Inakuwaje unachanganyikiwa mahusiano yanapokufa au kutaka kufa?Tena kwa sababu ya kijinga kama hii?
 
Sasa kama mtu unamuelewesha na hataki kuelewa afanyaje? ampotezee siku akielewa atarudi mwenyewe!!! Asije kuwa alikuwa anatafuta visingizio tu afanye anachotaka kufanya.
By the way, huyo rafiki yako kwa nini hakuwa anazifuta SMS za huyo mwingine wakati anajua wazi kuwa ana mpenzi ambaye anamchunguza?

So yote sawa ila awe anafuta????????
 
Sasa yamekukuta wewe ama shoga kidawa?

kwa namna alivyolidadavua vizuri ni wazi yamemkuta na hiyo rafiki amechomekea tu.
Best pole sana ingawa nina maswali kidogo;
1. Iwapo huyo rafiki yako alikuwa serious kumkatisha tamaa huyo mwanaume mwingine kwa nini aliendekeza kujibu sms zake na mbaya zaidi kuzihifadhi kwa simu yake hata zikakutwa?
2. Je huyo mwanaume wa nje walikuwa na uhusiano gani na rafiki yako kabla hajaanza kumtongoza?
 
Huwezi fuga kuku na njiwa halafu eti usijue njiwa wako atakula nini..........................a serious joke
 
So yote sawa ila awe anafuta????????

Hahahahha inawezekana isiwe sawa lakini kitendo cha kutozifuta kina maana kubwa sana especially kwetu wanawake (na kama mtu ameshanasa). Ukimkuta mpenzi wako amehifadhi sms za mapenzi toka kwa mtu anayedai hampendi jiulize mara mbili mbili.
1. Saikolojia yetu huwa ni kukihifadhi kitu kinachokupa faraja, unachopenda kukiona so kama sms ya mtu mwingine imehifadhiwa jua tu huwa tuna-revisit mara kwa mara na kufantasize
2. Lakini inawezekana pia kuwa huyo mpenzi wako hazijali hisia zako kwa sababu Id rather tell you kuwa flani amenitongoza (if its necessary at all) kuliko kukuacha uje uone amenitongozaje! Ni kuumiza hisia zako aisee.
 
Mimi naona bora huyu shosti yako aendele kumueleweshe hubby wake ila akiona anaendelea kushikilia msimamo wake haana budi anatakiwa abadilishe lain ya simu ili huyo mpashikunatiwa asiendelee kumsumbua.

Ikiwa bado hubby wake hatamuelewa tena huenda huyo jamaa hampendi bali anatafuta njia yakumuacha ili avute chombo kingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom