Jamani wimbo wa CHADEMA kwenye simu umepigwa marufuku??????

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Niliweka wimbo ili mtu akinipigia awe anasikiliza uliokuwa unawahamasisha wananchi kuwa sisiemu ili ahidi maisha bora lakini hakuna kitu.. lakini cha kushangaza siku za hivi karibuni huu wimbo haupo tena, hata kwa marafiki zangu ambao nao walikuwa nao kwenye simu umepotea bila hata taarifa na nimewekewa taarabu na bongo fleva .... huu wimbo nilikuwa naulipia na bila shaka hawa vinyempele wanaendelea kunikata kwa hizi nyimbo ambazo sikuzichagua.. je niwafanyeje??? Kuna sheria inayoweza kuwabana kunilipa fidia kwa kadhia hii???
 
Back
Top Bottom