jamani what is love? is it about wealthy? or about sex? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani what is love? is it about wealthy? or about sex?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtende, Oct 7, 2010.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  am confused,most of girls and boys hawajui meaning ya love wana jf help me,coz kuna binti wa miaka 19 anadai amefall in love na kibabu cha kizungu cha miaka 61,is that love or?kibau kinamgharamia kila kitu binti kamtambulisha babu huyo hadi kwa wazazi halafu wazazi wamenyamaza kimya maana wamemwagiwa mabilioni ya kutosha,cha kushangaza bint ana kijana wake mdogo tu wa kula nae gud tym sasa sielewi kati ya kibabu na kijana binti anampenda nani
   
 2. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Samahani hivi mdogo wangu una umri gani? nimesoma hii na ile ulietaka kujua kama mchezo wa baba na mama unachezwa daily katika ndoa tukijua umri wako utaweza kusaidiawa vizuri zaidi.
   
 3. T

  Tall JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  anawapenda wote
  1.kibabu.......anapendewa pesa
  2.kijanaa...anapendewa ujana wake.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.....................na.... wembamba wa reli....,all in all give out ur views
   
 5. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yamekuwa hayo? kwaheri.
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mapenzi ya mujini hayo utakuta shori kawa-save kwenye simu:-
  Malazi -huyo analipa kodi
  Mpendezeshaji-huyo ananunua mavazi/manukato
  Mawasiliano-huyo ananunua simu na vocha anajaza kila siku
  Wa ukweli-huyu mara nyingi hatoi kitu lakini anamfikisha juu ya mlima
  Usafiri-huyu anatoa lifti hata saa 9 usiku
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Vip mbona umepotea mwenzetu DDD?kulikoni
   
 8. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  duh una experience eeh,uliwahi kukuta mtu kakusev jina gani kati ya hayo?
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kamuulize anampenda nani...!
   
 10. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Always, a true love has no reason(s).....! And whenever you find reason(s) for love, then there is no love, but tamaa tu.....!
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eti mi nilikua mpendezeshaji baada ya kuipitia simu nikajitoa kwenye uhusiano mzunguko ulikua mkubwa na maradhi mengi siku hizi, sasa hivi nimetulia na kuoa na hatuchezi alaaji kila siku kujibu ile thread yako ingine.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  .................
   
 13. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kijana vp? r u confuzed
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unajua kuna maswali mengine huwa yana majibu hata kabla haujauliza swali lenyewe na majibu yanajulikana ni kama vile umuulize mtu kuwa "Hivi ukifanya tendo la ndoa unajisikiaje?" Unategemea utapewa jibu gani zaidi ya mtu kuanza kukushangaa
   
 15. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  What is love?
  It is one of the most difficult questions for the mankind. Centuries have passed by, relationships have bloomed and so has love. But no one can give the proper definition of love. To some Love is friendship set on fire for others Maybe love is like luck. You have to go all the way to find it. No matter how you define it or feel it, love is the eternal truth in the history of mankind.
  Love is patient, love is kind. It has no envy, nor it boasts itself and it is never proud. It rejoices over the evil and is the truth seeker. Love protects; preserves and hopes for the positive aspect of life. Always stand steadfast in love, not fall into it. It is like the dream of your matter of affection coming true. Love can occur between two or more individuals. It bonds them and connects them in a unified link of trust, intimacy and interdependence. It enhances the relationship and comforts the soul. Love should be experienced and not just felt. The depth of love can not be measured. Look at the relationship between a mother and a child. The mother loves the child unconditionally and it can not be measured at all. A different dimension can be attained between any relationships with the magic of love. Love can be created. You just need to focus on the goodness of the other person. If this can be done easily, then you can also love easily. And remember we all have some positive aspect in us, no matter how bad our deeds may be.
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hahaha hongera kwa kutulia daah ila pole inaelekea ulikua mzee wa mashoping na kupendezesha
   
 17. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  mkubwa wa kazi napenda nikuunge mkono
   
 18. m

  mankiya New Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba yeye ndiye anayejua anampenda nani kati kibabu na kijana so jibu analo mwenyewe km vip kamuulize
   
 19. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Laavu izi wati yu faindi ini iti. ifu yu wili find iti hurtfulu theni laavu izi hurtful, ifu yu faindi iti injoifulu then iti izi ekisetra.

  Rilakisi golida, kama hujaelewa njoo nitakuelekeza poa.
   
 20. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Laavu izi wati yu faindi ini iti. ifu yu wili find iti hurtfulu theni laavu izi hurtful, ifu yu faindi iti injoifulu then iti izi. ekisetra.

  Rilakisi golida, kama hujaelewa njoo nitakuelekeza poa.
   
Loading...