Jamani watumishi wa afya tunaofanya hospitali za jeshi nchini tunadhalilishwa na jeshi letu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani watumishi wa afya tunaofanya hospitali za jeshi nchini tunadhalilishwa na jeshi letu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mayoscissors, Apr 20, 2011.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wana jf tunaomba ushauri wenu juu ya mada hapo juu!baadhi yetu ambao tunastahili ya kupewa nyumba tumepangishiwa nyumba uraiani na kodi hazilipwi na jeshi hili kiasi cha sisi kupata shida kwa raia wenzetu waliotuonea huruma na kukubali kuingia mkataba na jeshi
  hakika tunadahalilika na sijui hatima yetu
   
 2. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  nakushauri waambie wakupe pasa zako za house allowance ukalipe mwenyewe.
   
 3. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa vizuri
   
Loading...